Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Haya ndio makabila yenye kuongoza kwa kuwa na Wanawake wenye viburi hapa Tanzania

Toa Wasukuma, weka wadada wa Singida wale sijui ni Wanyaturu au Wanyiramba...moja wapo kati ya hao

Halafu ongeza midomo cherehani Wapogoro, Wazaramo...
Nashangaa wanyaturu na wamasai kawacha sijui katumia formula gani hadi anaweka wasukuma
 
Dada zangu wanyakyusa wote wapo nyumbani saizi hawaeleweki sijui wameachika au wamepumzika ila hawa mashemeji lawama zao zinafanana
Wanyakyusa badilikeni dada zangu
Hata pesa haiwasumbui hawa watu [emoji1] ni namba 1. apo kwenye list
😂😂😂
 
wasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Wameru wamekeketwa tangu lini? Sijawahi kusikia hilo wala kukutana na Mwanamke wa kimeru aliyekeketwa
 
Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
Mule mule hasa wanyakyusa.
 
Dada zangu wanyakyusa wote wapo nyumbani saizi hawaeleweki sijui wameachika au wamepumzika ila hawa mashemeji lawama zao zinafanana
Wanyakyusa badilikeni dada zangu
Hata pesa haiwasumbui hawa watu [emoji1] ni namba 1. apo kwenye list
Wadada wa kinyakyusa ni kiboko hata akiwa na shida sana lakini hawataki kujishusha abadani yaani wana jeuri mno yuko radhi kufa na shida zake lakini sio anyenyekee. Ni dada zangu ila [emoji119][emoji119]
 
Back
Top Bottom