moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
sio wote mkuuMnajijua kumbe......😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio wote mkuuMnajijua kumbe......😂
Nini kikakukuta mkuu? 🤣🤣🤣Nilionywa kwa wapare lakini sikusikia.
Nyie nyie. 🤣🤣Dada zangu wanyakyusa wote wapo nyumbani saizi hawaeleweki sijui wameachika au wamepumzika ila hawa mashemeji lawama zao zinafanana
Wanyakyusa badilikeni dada zangu
Hata pesa haiwasumbui hawa watu [emoji1] ni namba 1. apo kwenye list
Hii hapauzi gani huo,hebu nitumie link..
Wamewashituka dada zao, enough is enough jamanihata wanyakyusa wa nje ya mbeya wanaoa makabila mengine.
Nashangaa wanyaturu na wamasai kawacha sijui katumia formula gani hadi anaweka wasukumaToa Wasukuma, weka wadada wa Singida wale sijui ni Wanyaturu au Wanyiramba...moja wapo kati ya hao
Halafu ongeza midomo cherehani Wapogoro, Wazaramo...
😂😂😂Dada zangu wanyakyusa wote wapo nyumbani saizi hawaeleweki sijui wameachika au wamepumzika ila hawa mashemeji lawama zao zinafanana
Wanyakyusa badilikeni dada zangu
Hata pesa haiwasumbui hawa watu [emoji1] ni namba 1. apo kwenye list
Wanaonewa sana aisee😀😀Kila kitu wachagga[emoji23]
Jamaniiii
Wameru wamekeketwa tangu lini? Sijawahi kusikia hilo wala kukutana na Mwanamke wa kimeru aliyekeketwawasukuma ondoa. wachaga, wapare kwa ubishi labda kwasababu ni wafupi, wameru kwa ukatili na ubishi labda kwasababu wamekeketwa, wajaluo ondoa,wahaya ondoa wao ni umalaya tu, wanyakusa ni sahihi. ila sijaona wahehe.
Hasa akutane na mzaramo mwenye miguu iliyokataa njia ni shida [emoji3][emoji3][emoji3]Unawajua wazaramo vizuri?
Mule mule hasa wanyakyusa.Kuna kautafiti kasiko rasmi nimekafanya kuhusu makabila yenye wanawake wenye viburi hapa Tanzania.
1. Wachaga
2. Wakurya
3. Wanyakyusa
4. Wahaya
5. Wapare
6. Wasukuma
7. Wameru
8. Wajaluo
Yani hawa watu unaweza kupiga mtu makofi kila siku na bado asikuelewe.
JF aiseee hahaha 😅😅😅😅Kumbe ndio maana Lucas Mwashambwa ana kuburi ubongoni mwake.
Wanavyoongea kwa upole. Utasikia Enaaaaaa.Hansii, mpozile? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanyiha majeuri hayachelewi kukudunda
Aiii mkuu mbona unaharibu? Nilijua tumepona 🤣🤣🤣🤣Toa Wasukuma, weka wadada wa Singida wale sijui ni Wanyaturu au Wanyiramba...moja wapo kati ya hao
Halafu ongeza midomo cherehani Wapogoro, Wazaramo...
Wababe na majeuri sana 🤣🤣🤣Wanavyoongea kwa upole. Utasikia Enaaaaaa.
kumbe ni miamba “kweri kweri”
😂
Aiii mkuu mbona unaharibu? Nilijua tumepona 🤣🤣🤣🤣
Wadada wa kinyakyusa ni kiboko hata akiwa na shida sana lakini hawataki kujishusha abadani yaani wana jeuri mno yuko radhi kufa na shida zake lakini sio anyenyekee. Ni dada zangu ila [emoji119][emoji119]Dada zangu wanyakyusa wote wapo nyumbani saizi hawaeleweki sijui wameachika au wamepumzika ila hawa mashemeji lawama zao zinafanana
Wanyakyusa badilikeni dada zangu
Hata pesa haiwasumbui hawa watu [emoji1] ni namba 1. apo kwenye list