totoadela
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 369
- 1,106
Eeeh tenawachaga nimbwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh tenawachaga nimbwa
Mbona unahasirawachaga nimbwa
Mwanaume kuogopa jela huo ni umama. Kama hukutaka kuwa mwanaume ungesema mapemaingekuwa sio jela yuledemu wakichaga ningenyonga
Mkuu don't take things serious...tumepewa viumbe tuvitawale....kutoa uhai wa mnyama au ndege haimaanishi huyu mtu anaweza kutoa uhai we binadamuKiaisili mwanamke ni mleta uhai duniani na sio mtoa uhai. Sasa ukiona mwanamke anaweza kutoa uhai wa kitu basi hata kwa binaadam ni hivo. Ndio maana matukio yanayofanywa na Wachaga kwa wanaume yanasikitisha
Mbona mie nachinja kuku na siogopi,Mwanaume mwenzangu okopa sana kabila ambalo mwanamke anaruhusiwa kuchinja kuku. Na yeyw mwenyewe wala haogopi.
Wachaga na wameru
Hebu Lucas mwashambwa njoo hapa useme hii kiburi umetolea wapiKumbe ndio maana Lucas Mwashambwa ana kuburi ubongoni mwake.
Aliyepewa ni mwanaume si mwanamke. Nyie watu wa kaskazin hua mnachinja na ndio maana mnaongoza kwa kuwatawalawame zenu hadi wanatia hurumaMkuu don't take things serious...tumepewa viumbe tuvitawale....kutoa uhai wa mnyama au ndege haimaanishi huyu mtu anaweza kutoa uhai we binadamu
Hakuna uhusiano mkuuAliyepewa ni mwanaume si mwanamke. Nyie watu wa kaskazin hua mnachinja na ndio maana mnaongoza kwa kuwatawalawame zenu hadi wanatia huruma
Shida nn mkuuWameru, Wameru, Wameru, Wameru yani isingekua kumpenda huyu mwanamke ningesha mharibu huyu mtu.
Mnajijua kumbe......😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]nilijua tu wapare hatuwezi kukosekana hapa
Nakusalimia jirani kwa kinyihaNdio nn
Sisi ndiyo malejendari.
Sanaaaa nkamuWanyakyusa mbona tuna adabu sisi