Haya ndio makundi yanayoongoza kwa kuchukiana mitaani/ mitandaoni

Haya ndio makundi yanayoongoza kwa kuchukiana mitaani/ mitandaoni

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
1. Wenye kazi vs wasio na kazi
Hasa vijana waliomaliza vyuo vikuu dhidi ya waliopo kazini ni kuoneana kijicho.

2. Waliosoma vs walioukumbia umande
Utasikia jamaa kasoma ila hamna kitu bora ambao hatukusoma

3. Wenye ndoa vs wasio na ndoa
Mtaani ni noma hii ligi ni kuoneana vijicho hasa wanawake

4. WanaCCM wanaonufaika na kuwepo chamani vs wanaCCM wapiga debe bila kupata chochote


5. Waliokula maisha kipindi cha Kikwete vs wanao kula maisha sasa
Pitia wall za Membe na wenzake

6. Wenye magari na nyumba vs dhidi ya wasionacho ,hii ligi ni asubuhi tukiwa tunawahi kazini ukimpita analialia na mwisho wa mwaka

7. Wanaosomesha watoto English medium vs kayumba wakiona watoto wa wenzao wanashushwa na magari wanakuwa na povu

CHUKI INAZIDI KUKUA KWENYE TAIFA HILI


USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila nikiangalia naona niko upande wa kulia wa ligi...wale wasio......
 
Wale tunaokaa kwetu tunachukiwa sana na wanaokaa ghetto. Utasikia 'jamaa mkubwa tu ila anakaa kwao'.

Sasa kama kwetu nyumba zipo zakutosha unataka tukapange ili huku kwetu wafugie majini au?
 
Wale tunaokaa kwetu tunachukiwa sana na wanaokaa ghetto. Utasikia 'jamaa mkubwa tu ila anakaa kwao'.

Sasa kama kwetu nyumba zipo zakutosha unataka tukapange ili huku kwetu wafugie majini au?
Aisee mkuu kama mimi aisee yan raia wanaongea alaf anategea mbele ya watu mtu anakuuliza wakat anajua "eti bado upo home?"
Kumbuka ni watu mko nao mtaani nkamkata jicho nami nkamuuliza "dada yako bado anakulipia gheto"?

maana kila kitu ni sister alaf watu kama hawa wanajionaga wanajua hustle amna mfano dunia hii.

Sent using Samsung s10
 
Back
Top Bottom