Haya ndio malipo ya kula wake za watu anayoyapitia huyu jamaa yangu

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.

Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono, katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.

Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.

Jamaa yangu yeye bado anakomaa na madawa tu ya hospital
 
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono,katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.
Jamaa yangu yeye bado anakomaa na madawa tu ya hospital.
Noma sana
 
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.📌📌🔨
 
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono,katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.
Jamaa yangu yeye bado anakomaa na madawa tu ya hospital.
Acha kutia vistori vya huruma tombeni na kuhudumia wake zenu vizuri mnatusababishia lawama kitaa maana wanatutogoza mashabab wenyewe yaani wake zenu wanagawa tunda kuliko masingle maza
 
yeye anakula dawa, vipi mwenzake... Kama anakula dawa pekee yake mwenzake hali na bado anatomba, sio rahisi kupona na kama ndio anamtomber matakoni ndio KABISAAA.
 
Hii tabia ya kula wake za watu mtalogwa sana tu, wengine huzindika wake zao wasiliwe, jichanganyeni mtaishia kukojoa kamba au petroli. Kuna jamaa moja yeye alishindwa kabisa kula mke wa mtu, mashine yake ilikataa kusoma mnara jamaa akaonekana si mzima jogoo wake hapandi mtungi. Alipoovaa nguo tu ngoma ikasimama inataka kula vitu. Kula wake za watu si vizuri ukifumaniwa madhara yake ni makubwa
 
Noma sana
Gonorrhea matibabu siyo sindano moja 😂 😂 😂 😂. Lazima utumie dawa zaidi ya mbili na kwa siku 10. So aende hospitali. Akikaa sana atakuwa mgumba.

Dose zake ni
1. Doxycycline caps 100mg bd for 10 days
2. IV ceftriaxone 1g od for 3 days
3. Metronidazole tabs 200mg tds for 5 days.

Hapa gonorrhea kwisha Habari yake.
 
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono,katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.
Jamaa yangu yeye bado anakomaa na madawa tu ya hospital.
'Mamake, huyo walishamwendea Mwanakwerekwe tu, msubirini aanze kuomba kufilrwa mwenyewe, utakuja kutusimulia hapa.
 
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono,katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.
Jamaa yangu yeye bado anakomaa na madawa tu ya hospital.

Bora alivyopata GONO lisilopona kuliko KUPAKWA PARACHUTI au MINARA au HALISI.
 
Salamu
Kuna jamaa yangu tuko nae mtaani huku,huyu jamaa siku nyingi tu niligundua anatoka kimapenzi na mke wa mtu tena ni mke wa ndoa kabisa ya msikitini.baada ya mimi kuligundua hilo nilimshauri jamaa aache hizo mambo ni hatari sana.
Sasa toka mwezi uliopita jamaa yangu ameanza kuumwa gono,katumia kila aina ya dawa lkn haponi,mimi nijuavyo gono ukipiga sindano moja tu inapona within a week but jamaa mwezi wa pili hii ngoma bado haijakata.
Although bado sijamsanua ila nina uhakika mwenye mke atakua kamfanyizia maana jamaa ni mtu wa pwani huko na hiyo ndio michezo yao.
Jamaa yangu yeye bado anakomaa na madawa tu ya hospital.
Tumia ukachero wako uone je mumewe hana hiyo shida?
Je huyo mwanamke anamtunza kweli? Nini chanzo cha kuruka ukuta?
Je hiyo pesa ya kwenda kwa mganGa anayo kwanini asimpe matunzo huyo mwanamke atulie?
 
mapenzi ni sawa na soko huria, mathalani bidhaa inaweza kununuliwa na yeyote. lakini kama una mpenda mkeo, usimpende na mwenzako. hata akijishebedua kwako, tafuta single mmoja jilie na hii ni kama umeshindwa kabisa kujizuia.

vinginevyo nashauri kemea tamaa zako.
 
Aisee! Awasiliane na member mmoja humu nimeisahau ID yake.. Yeye pia alipata gono Sugu ila alipona
 
Back
Top Bottom