cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora alivyopata GONO lisilopona kuliko KUPAKWA PARACHUTI au MINARA au HALISI.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora alivyopata GONO lisilopona kuliko KUPAKWA PARACHUTI au MINARA au HALISI.
Nyie mashababi endeleeni kuwagonga wake za watu tu kwa kisingizio cha kutongozwa. Yatakayowakuta mbeleni hakikisheni hamlaumu mtu.😄Acha kutia vistori vya huruma tombeni na kuhudumia wake zenu vizuri mnatusababishia lawama kitaa maana wanatutogoza mashabab wenyewe yaani wake zenu wanagawa tunda kuliko masingle maza
AiseeHii tabia ya kula wake za watu mtalogwa sana tu, wengine huzindika wake zao wasiliwe, jichanganyeni mtaishia kukojoa kamba au petroli. Kuna jamaa moja yeye alishindwa kabisa kula mke wa mtu, mashine yake ilikataa kusoma mnara jamaa akaonekana si mzima jogoo wake hapandi mtungi. Alipoovaa nguo tu ngoma ikasimama inataka kula vitu. Kula wake za watu si vizuri ukifumaniwa madhara yake ni makubwa