J Johnny Sack JF-Expert Member Joined Jan 21, 2017 Posts 8,984 Reaction score 19,288 Mar 20, 2023 #1 Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
raphael andrew JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 817 Reaction score 938 Mar 20, 2023 #2 Mmh [emoji848]