Enkaly
JF-Expert Member
- Aug 14, 2014
- 307
- 428
- Thread starter
- #21
Tafiti za Kiafrika ndio zinaweza zikawa na nchi za kiafrika mkuu?Tafiti za kizungu hizo hutaona nchi za kiafrika zikiwekwa kwenye list. Ziwekwe wazi wakati makampuni Yao ndiyo yanayochimba au kuinvest kwenye hizo natural resources
Raiti kama Africa ingekua nchi moja, ingeweza kuwa kwenye list, na hicho ndicho mabeberu walichokitaka. They never want Afrika to Unite.