Haya ndio matokeo / matunda ya uswahiba,ila pale hakuna kipaji

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
mmh.sijui ndio matunda au matokeo ya uswahiba ila ki ukweli pale hakuna kipaji cha kutisha ni msanii wa kawaida sana kama msaga sumu, yetu macho ni hii ndio bongo bana. sijui baada ya uchaguzi huyu ndugu yetu atapata wapi swahiba mwingine.
 
Kipaji cha kutisha ni kipi?.
 
mmh.sijui ndio matunda au matokeo ya uswahiba ila ki ukweli pale hakuna kipaji cha kutisha ni msanii wa kawaida sana kama msaga sumu, yetu macho ni hii ndio bongo bana. sijui baada ya uchaguzi huyu ndugu yetu atapata wapi swahiba mwingine.

Nani huyo Ali?
 
Tusio wambea mnatutesa sana! eti Evelyn Salt nini kinazungumzwa hapa?

Ukisoma uzi zake zilizopita hana mwingine amayemponda kama Diamond Platnumz so ndie anayemsema....sijui imekuwaje ila ndio maana karusha uzi huu...kajifunza kutomtaja jina kumpa promo siku hizi...nadhani kumuona na Z wanaenda Zanzibar jana imemkologa. Ndio kaandika.
 
Last edited by a moderator:
Ukisoma uzi zake zilizopita hana mwingine amayemponda kama Diamond Platnumz so ndie anayemsema....sijui imekuwaje ila ndio maana karusha uzi huu...kajifunza kutomtaja jina kumpa promo siku hizi...nadhani kumuona na Z wanaenda Zanzibar jana imemkologa. Ndio kaandika.

Kuna ukweli. Nimepata idea, kwani ndoa na Z tayari ama?
 
Back
Top Bottom