Haya ndio matokeo ya mwanangu darasa la saba nimefarijika sana

Kiswahili - A,
English - A,
Maarifa - B,
Hisabati - A,
Science - A,
Uraia - B,

Average Grade - A

Amemaliza katika shule ya English medium

Mimi baba yake ni kichwa zaidi yake ila matokeo yangu hayakuwa mazuri Kwa sababu ya hali ya maisha magumu ya familia yangu

Ni kama vile nilikuwa najisomesha mwenyewe maana sare za shule na viatu nilivyo nunuliwa na wazazi ni zile nilizovaa siku napelekwa kuanza darasa la kwanza Baada ya hapo nilijinunulia mwenyewe Kila kitu hadi namaliza darasa la saba

Huko secondary na advance ndio kabisa nilikuwa nauza maji Ili kupata naurli ya shule na mahitaji mengine ada zote nimelipa Baada ya kumaliza advance ndio nakachukua vyeti vyangu ada ilikuwa elfu 20 Kwa mwaka lakini bado familia yangu ilishindwa kulipa

Ila bumu la chuo ndio lilinifariji na kunifanya nisome chuo bila ya stress

Ila elimu niliyoipata sio elimu Bora naamini hilo 100% Yani nilikuwa nafaulu tu Kwa sababu Nina akili nyingi

Nikajiapiza watoto wangu sitaki wapitie haya na sitaki wasome kayumba kama Mimi baba yao
Mkuu hizo thamani za score na pesa ulizoweka vinalingana?

Mimi sitaki kukuvunja moyo lakini nataka ufikirie namna hii.

Je hapo alipo akimaliza anaweza kupata kazi? Kama umelipa ada let say milioni moja kwa mwaka je hayo matokeo yanaleta impact gani?

Hizo milions ungenunua ardhi akimaliza Form 4 atakuta ina thamani takriba milioni 50+

Then unawekeza pesa ndefu kwa mtoto ambaye akimaliza anakuja kutembeza bahasha kutafuta Mshahara wa Laki Saba?

Unless wewe ni Mlamba Asali and ofcourse Walamba asali ndio wanaosomesha shule za ghalama ila kwa sisi wavuja jasho ni bora tuwekeze kwenye biashara wapate cha kurithi baadae.

Hongera kwa Mwanao amezingatia masomo kwa bidiii na unatakiwa usimvunje moyo aendelee hivyo hivyo.
 
Matokeo ya siku hizi yananipa mashaka sana. Kuna mtoto wa kike wa kaka angu nishamsaidia sana masomo yake akiwa nyumbani kichwani ni empty kabisa lakini form 4 alipasua. Ingawa ni jambo zuri lakini kuna kengere ya hatari ililia kichwani
Hahaaaa hizi elimu bwana. Kijana hawezi hata kufikiri vitu vya kawaida.

Zamani Form Four alikuwa kichwa hata la kapata four
 
Kiswahili - A,
English - A,
Maarifa - B,
Hisabati - A,
Science - A,
Uraia - B,

Average Grade - A

Amemaliza katika shule ya English medium

Mimi baba yake ni kichwa zaidi yake ila matokeo yangu hayakuwa mazuri Kwa sababu ya hali ya maisha magumu ya familia yangu

Ni kama vile nilikuwa najisomesha mwenyewe maana sare za shule na viatu nilivyo nunuliwa na wazazi ni zile nilizovaa siku napelekwa kuanza darasa la kwanza Baada ya hapo nilijinunulia mwenyewe Kila kitu hadi namaliza darasa la saba

Huko secondary na advance ndio kabisa nilikuwa nauza maji Ili kupata naurli ya shule na mahitaji mengine ada zote nimelipa Baada ya kumaliza advance ndio nakachukua vyeti vyangu ada ilikuwa elfu 20 Kwa mwaka lakini bado familia yangu ilishindwa kulipa

Ila bumu la chuo ndio lilinifariji na kunifanya nisome chuo bila ya stress

Ila elimu niliyoipata sio elimu Bora naamini hilo 100% Yani nilikuwa nafaulu tu Kwa sababu Nina akili nyingi

Nikajiapiza watoto wangu sitaki wapitie haya na sitaki wasome kayumba kama Mimi baba yao
Wangu amekula A zote wala sijajiafariji shida tuna bifu zito sna na mama ake
 
Hata hvyo mtiani wote Ni kuchagua utakozajeA na bs
 
No matter what mwambie ampende mama yake kuliko kitu chochote ,akupende wewe ila ampende mama yake zaidi,haijalishi una ugomvi na mama yake au la,mwambie ampende mama yake
 
Kiswahili - A,
English - A,
Maarifa - B,
Hisabati - A,
Science - A,
Uraia - B,

Average Grade - A

Amemaliza katika shule ya English medium

Mimi baba yake ni kichwa zaidi yake ila matokeo yangu hayakuwa mazuri Kwa sababu ya hali ya maisha magumu ya familia yangu

Ni kama vile nilikuwa najisomesha mwenyewe maana sare za shule na viatu nilivyo nunuliwa na wazazi ni zile nilizovaa siku napelekwa kuanza darasa la kwanza Baada ya hapo nilijinunulia mwenyewe Kila kitu hadi namaliza darasa la saba

Huko secondary na advance ndio kabisa nilikuwa nauza maji Ili kupata naurli ya shule na mahitaji mengine ada zote nimelipa Baada ya kumaliza advance ndio nakachukua vyeti vyangu ada ilikuwa elfu 20 Kwa mwaka lakini bado familia yangu ilishindwa kulipa

Ila bumu la chuo ndio lilinifariji na kunifanya nisome chuo bila ya stress

Ila elimu niliyoipata sio elimu Bora naamini hilo 100% Yani nilikuwa nafaulu tu Kwa sababu Nina akili nyingi

Nikajiapiza watoto wangu sitaki wapitie haya na sitaki wasome kayumba kama Mimi baba yao
Nakumbuka std 7 nilipiga flat ya A tena hesabu nilipiga 50/50. Form 1 nikapangiwa kwenda Azania secondary. Nilikua kichwa mtaani. Wenzangu niliokua nao sawa kimadarasa na niliowazidi wote masomo ya darasani walikua wananiletea niwaelekeze, wazazi mtaani walinipenda sana, ndugu na jamaa walinitabiria makubwa sana mbeleni. But now my life shit. Muandalie dogo future nzuri kama ana kipaji/kipawa muendeleze, muandalie mali, mtaji, njia ya kuifata atakapofika ngazi ya kielimu anayoitaka. Usiwe mmoja ya wale wazazi wanaoamini mtoto akifika umri wa kujitegemea ni lazima aanze na 0
 
Kuna mtoto anaefeli darasa la saba miaka hii???

Kama mwanao yupo english medium schools na hana A hata moja basi huyo ni kiliza plus plus plus. Hamna changamoto yoyote na bado dogo afeli

Hata dogo awe kilaza namna gani matokeo yake lazima yawe njema kwenye hizo shule.
Hahaaaa, mi nilimchukua ntoto wa ndugu yangu. Mazingira aliyokuwa anaishi hayakuwa mazuri kwani alikuwa kama "chokoraa" nikasema nimbadikishie mazingira na nimsomeahe English Medium. Akawa anatoka Getini anapanda school bus au siku nyingine nawapeleka kwani shule anayosoma ipo karibia na kazini kwangu.

Toka aanze la kwanzwa yeye ni wa mwisho tu kati ya watoto 12. Hajawahi kutoka mwisho. Mtihani wa La nne akawa wa Mwisho na C yake. Nikaona hapa napoteza pesa yangu. Nikataka nimpeleke st Kayumba ila nikaofia Maneno ya watu na ndugu kwani wanangu walikiwa wanasoma naye. Jamaa hataki kusoma, hafanyi homework hadi nimuulize na ananidanganya. Nikawa naitwa shuleni kujieleza. Kwanini wangu wanafanya ila.yeye hafanyi. Dogo akawa ananigombanisha na walimu
Katika.jaribu nililolipata ni dofo. Jamaa kamaliza la saba wenzie wamepata A&B tu yeye kapata C
Kavuta mkia tena kati ya watu 12. Walimu wamepambana naye sana ila hajasaidika jamaa yangu. Homework nilikuwa nafanya mimi na kama nimesafiri kikazi hafanyi au hamalizi au anajijazia tu hata ukimwambia asome alichoandika hawezi kwani anaogopa kuchapwa shuleni. Hata akiwa na maswali 60, itanidi nikomae usiku mengine tufanye wote asubuni. "Holiday package" ya Darasa la Saba alikuwa na maswali 1800, dingi la mishe ikabidi nikomae nayo kwani mjuba hana huo muda. Shuleni nalaumiwa mzazi kama hajamaliza "leave package" Jamaa kamaliza ila hata umwambie aandike Jina lake anachanganya small and capital letter. Alipomaliza tu, nimempeleka kwa Baba yake. Naye akomae naye. So wapo wanaoscore C huku English Medium Schools.
 
Balaa litakuja pale watakapokutana interview yoyote ile, wakati wale wa kayumba wakisema zee zeee zeeee yeye atakuwa anamiminika na hoja nzito nzito zenye ushawishi
Hiyo ni lugha tu ya watawala mkuu,kinachotakiwa sana ni skills,nenda hapo bungeni,aslimia karibu 90 ni hao unaosema zee zee,lakini ndio wanapiga hela mbaya....
 
Hongera mkuu ila kusema ulikuwa kichwa zaidi yake then unakiri amefaulu zaidi yako ni jinsi gani unaonyesha ulivyo kilaza then bila aibu unajitutumua
Jamaa anajikakamua hataki kuamini kwamba mwanae kamzidi uwezo
 
Muuza mchicha alieishia la Saba ni don kitaa kuliko graduates was chuo kikuu!!!

Tunatumia nguvu nyingi kufundisha elim isiyomkomboa mtoto kifikra!!

Sasa Hapo unafurahia A za mtoto no Hela hizo !!?yaani unafurahia ujinga was mtoto kukariri.badala kufurahia mtoto anaejua walau kulima nyanya na mchicha na kuuza bidhaa kitaa!!!?

Subiri akimaliza chuo halafu arudi nyumbani Hana ishu ndio utaona mahela meengi uliopoteza hayana maana!!!

Nimesikitishwa na attitude Yako na wachangiaji ambao wengi nimeona ni vilaza was kufikiri!!

Kwa hio hizo A ndio zitakuja kumletea ugali mezani so ndio!!!?

Mimi ni msomi graduate Tena sayansi nilikuja gundua elimu yetu ni ya kipuuzi Kwa sana!!!
 
Hahaaaa, mi nilimchukua ntoto wa ndugu yangu. Mazingira aliyokuwa anaishi hayakuwa mazuri kwani alikuwa kama "chokoraa" nikasema nimbadikishie mazingira na nimsomeahe English Medium. Akawa anatoka Getini anapanda school bus au siku nyingine nawapeleka kwani shule anayosoma ipo karibia na kazini kwangu.

Toka aanze la kwanzwa yeye ni wa mwisho tu kati ya watoto 12. Hajawahi kutoka mwisho. Mtihani wa La nne akawa wa Mwisho na C yake. Nikaona hapa napoteza pesa yangu. Nikataka nimpeleke st Kayumba ila nikaofia Maneno ya watu na ndugu kwani wanangu walikiwa wanasoma naye. Jamaa hataki kusoma, hafanyi homework hadi nimuulize na ananidanganya. Nikawa naitwa shuleni kujieleza. Kwanini wangu wanafanya ila.yeye hafanyi. Dogo akawa ananigombanisha na walimu
Katika.jaribu nililolipata ni dofo. Jamaa kamaliza la saba wenzie wamepata A&B tu yeye kapata C
Kavuta mkia tena kati ya watu 12. Walimu wamepambana naye sana ila hajasaidika jamaa yangu. Homework nilikuwa nafanya mimi na kama nimesafiri kikazi hafanyi au hamalizi au anajijazia tu hata ukimwambia asome alichoandika hawezi kwani anaogopa kuchapwa shuleni. Hata akiwa na maswali 60, itanidi nikomae usiku mengine tufanye wote asubuni. "Holiday package" ya Darasa la Saba alikuwa na maswali 1800, dingi la mishe ikabidi nikomae nayo kwani mjuba hana huo muda. Shuleni nalaumiwa mzazi kama hajamaliza "leave package" Jamaa kamaliza ila hata umwambie aandike Jina lake anachanganya small and capital letter. Alipomaliza tu, nimempeleka kwa Baba yake. Naye akomae naye. So wapo wanaoscore C huku English Medium Schools.
Zezeta hilo, mpeleke shamba akalime.
 
Back
Top Bottom