Haya ndio matokeo ya tarehe 8 Kariakoo Derby, Simba 3 vs Yanga 1. Kinyume na hapo nafuta account yangu ya JamiiForums na sishabikii mpira tena

gonamwitu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
2,187
Reaction score
2,794
Tell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA kutoka viunga vya msimbazi.

Kwa hakika itakuwa ni huzuni kubwa katika taifa la Tanzania wanayanga watalia kichina, watalia kisandawe, watalia kimakonde, watalia kijerumani na bado haitawasaidia kwasababu watakuwa wamezikwa futi 6 chini na kaburi lao tutalijenga kwa zege ili kama hawajafa vizuri wakishtuka wasiweze kutoka milele. Na hapo ndipo watakapomkumbuka marehemu komba na wimbo wake wa mapambio taifa lahuzunika.

Mark my words yanga asipokufa chuma 3 kwa 1 nafuta account ya jamiiforums na sijihusishi tena na mpira mpaka ntakapokufa.

Magoli ya simba yatafungwa na wachezaji wafuatao:
Ateba
Mpanzu na
The wonder kid "Ladack jumaa Chasambi"

Goli la kufutia machozi la yanga atafunga mzinze.

"A man called gonamwitu"
 
Omba timu yako siku hiyo ijitahidi kucheza vizuri ipate sare.
 
Safi sana
 
Yangu tulindieni heshma, zisizidi goli 3.
Utani siyo kuaibishana.
Mnajua fika hatuna beki, mnaju mabeki wetu ukiwazonga wanarudisha kwa "Onana" - Pini-pin!
 
Nimefatilia naona mashabiki wengi wasimba ndio wanaandika sana kuhusu hiyo mechi!, sijaona uzi ama mahojiano yoyote ya shabiki wa yanga akiizungumzia hiyo mechi!..

Simba ndio anaonekana anakimuhemuhe na presha juu ya hiyo mechi!, na kama hili lipo mpaka kwenye kikosi cha simba basi tarajieni maumivu tu. Derby haitaki presha nanyie mashabiki punguzeni midomo mtaiponza timu yenu!.
Hapa naona kama ile derby iliyoisha yanga ilicheza kama timu yapili lakini ndio ilipata matokea hii nikwasababu ya ubora wa wachezaji na mbinu so, kumbukeni pia kwa matokeo ya droo bado yanga atakuwa kwenye nafasi nzuri hivyo kwanza atahakikisha goli lake haliguswi akicheza hivyo mpk mpira kwisha sisi mashabiki tutawapigia makofi!, ila nyinyi ving'ang'a kwa presha hii Mh!.. Ni nitawapa siri moja yanga ikiwa na mpira ni hatari na isipokuwanao ni hatari zaidi!.. na mpira unadunda utatulia baada ya dakika tisini na hapo ndipo namba zitasomwa zimebadilika vipi!.
 
Wazaramo Wenye Mji wao wanasema
"Usinene ukamala"
Usiongee Ukamaliza.

Kikwetwe alipokwenda zanzibar Kusikiliza kero za Muungano
Wazanzibar walitapika Nyongo. Kikwete akasema Muwe mnabakisha maneno ya kesho.

USHAURI TU.
 
Back
Top Bottom