gonamwitu
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 2,187
- 2,794
Tell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA kutoka viunga vya msimbazi.
Kwa hakika itakuwa ni huzuni kubwa katika taifa la Tanzania wanayanga watalia kichina, watalia kisandawe, watalia kimakonde, watalia kijerumani na bado haitawasaidia kwasababu watakuwa wamezikwa futi 6 chini na kaburi lao tutalijenga kwa zege ili kama hawajafa vizuri wakishtuka wasiweze kutoka milele. Na hapo ndipo watakapomkumbuka marehemu komba na wimbo wake wa mapambio taifa lahuzunika.
Mark my words yanga asipokufa chuma 3 kwa 1 nafuta account ya jamiiforums na sijihusishi tena na mpira mpaka ntakapokufa.
Magoli ya simba yatafungwa na wachezaji wafuatao:
Ateba
Mpanzu na
The wonder kid "Ladack jumaa Chasambi"
Goli la kufutia machozi la yanga atafunga mzinze.
"A man called gonamwitu"