Haya ndio matokeo ya tarehe 8 Kariakoo Derby, Simba 3 vs Yanga 1. Kinyume na hapo nafuta account yangu ya JamiiForums na sishabikii mpira tena

Barcelona walikua na Messi walikufa 8 unazungumzia Mpanzu ambae hajafika kiwango cha Pacome Prof...
Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga jkt? Pacome huyu aliyeshindwa kuwafunga pamba? Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga mc alger? Barcelona ilikuwa mbovu na messi alikuwa kazeeka ndio maana ilifungwa 8 na bayern. Barcelona ya xavi na iniesta unadhani bayern wangetamba?
 
Kwasasa Yanga haina majeruhi kwa wale wachezaji muhimu wote wapo, naona mechi ngumu kwa simba ila Mzize naona atafunga goli kama lile alilowafunga Mazembe niliusikia mvumo wa mpira nikiwa uwanjani upande ule aliofunga.

Mechi hii ni ushindi kwa Yanga maana kuna mjomba wangu nampenda sana kolo mzee huwa anataka nijaze king'amuzi chake aangalie derby home na hajawahi kufurahi nikijaza na tayari nimejaza najua atalia tu tar 8 ila si kazi yangu atajiju.
 
Na sisi tunataka wachezaji wenu muhimu wawepo ili tukiwashenyenta msilete visingizio.
 
Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga jkt? Pacome huyu aliyeshindwa kuwafunga pamba? Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga mc alger? Barcelona ilikuwa mbovu na messi alikuwa kazeeka ndio maana ilifungwa 8 na bayern. Barcelona ya xavi na iniesta unadhani bayern wangetamba?
Hiyo unayoisema ilichukua kombe mara ngapi la uefa maana rekodi Mjerumani kabeba zaidi ya Barc mpira ni rekodi sio maneno mengi..
Kwa hiyo akiwafunga hao JKT ndio anajua mpira mkuu mbona una kumbukumbu nzuri kwa nini vitu vidogo vinakushinda..
 
Tell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA kutoka viunga vya msimbazi.

Kwa hakika itakuwa ni huzuni kubwa katika taifa la Tanzania wanayanga watalia kichina, watalia kisandawe, watalia kimakonde, watalia kijerumani na bado haitawasaidia kwasababu watakuwa wamezikwa futi 6 chini na kaburi lao tutalijenga kwa zege ili kama hawajafa vizuri wakishtuka wasiweze kutoka milele. Na hapo ndipo watakapomkumbuka marehemu komba na wimbo wake wa mapambio taifa lahuzunika.

Mark my words yanga asipokufa chuma 3 kwa 1 nafuta account ya jamiiforums na sijihusishi tena na mpira mpaka ntakapokufa.

Magoli ya simba yatafungwa na wachezaji wafuatao:
Ateba
Mpanzu na
The wonder kid "Ladack jumaa Chasambi"

Goli la kufutia machozi la yanga atafunga mzinze.

"A man called gonamwitu"
Kijana acha kujipa uspesho usio na sababu. Ufute akaunti yako ya jamii forums, au uache kushabikia mpira baada ya kichapo, inatusaidia nini? Au tutapungukiwa nini? You are just a nobody, ok?
And don't panic, ok?
 
Mimi siyo mlinzi kama wewe, humu jamiiforums nina mchango mkubwa sana kuhusiana na masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kimichezo.

Mimi kitaaluma ni CIVIL ENGINEER na kupitia taaluma yangu hii kwenye jukwaa la ujenzi nimewasaidia sana watu kupata makazi kwa bei nafuu ikiwemo kuwashauri ni namna gani watajenga na kumiliki nyumba kwa gharama nafuu.

kupitia ELIMU yangu ya saikolojia nimeweza kuwasaidia vijana wengi waliokata tamaa kutokana na ugumu wa maisha na matumizi ya madawa ya kulevya.

kupitia foundation yangu ya RUN UNTIL YOU FLY FOUNDATION nasomesha watoto yatima.

kupitia kipato changu ambacho siyo kikubwa sana nimeweza kuwainua wana jamiiforum kadhaa kwa kidogo kitu.

"USINICHUKULIE POA"
 
Tell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA kutoka viunga vya msimbazi.

Kwa hakika itakuwa ni huzuni kubwa katika taifa la Tanzania wanayanga watalia kichina, watalia kisandawe, watalia kimakonde, watalia kijerumani na bado haitawasaidia kwasababu watakuwa wamezikwa futi 6 chini na kaburi lao tutalijenga kwa zege ili kama hawajafa vizuri wakishtuka wasiweze kutoka milele. Na hapo ndipo watakapomkumbuka marehemu komba na wimbo wake wa mapambio taifa lahuzunika.

Mark my words yanga asipokufa chuma 3 kwa 1 nafuta account ya jamiiforums na sijihusishi tena na mpira mpaka ntakapokufa.

Magoli ya simba yatafungwa na wachezaji wafuatao:
Ateba
Mpanzu na
The wonder kid "Ladack jumaa Chasambi"

Goli la kufutia machozi la yanga atafunga mzinze.

"A man called gonamwitu"
simba kuifunga yanga kwakweli itaakuwa habari kubwa sana ila sio afrika mashariki na kati
 
Jina lako ni demu halafu boy yaani demu boy yaani demu maana yake jike na boy yaani dume kwa kifupi jike dume.
 
Na ile derby pia ulisema utakua sehemu ambayo haina internet 😄😄
Na hii utakua kwenye mfungo basi tutakupa matokeo wala usiwaze..
Duuh una kumbukumbu hatariii..
Derby hii nitakuwepo JF nazurura
 
Kama bado haujatosheka na gongo mwambie mama muuza akuongeze kolonto moja nakuja kulipia. Wewe ushafanya maamuzi tayari ya kuleft jamii forums ila una kakigugumizi kuwa ukileft tutakuwa tunakutag kila siku kuwa gonamwitu uko wapi, ukaona ili watu wasikusumbue ngoja utabiri jambo ambalo haliwezi kutokea kama ulivyotabiri ili uondoke peaceful bila kusumbuliwa. Ila mkuu, ukijaa na id nyingine chonde usiache kunishtua. GONGO MBAYA SANA wakuu,ndio mana serikali ikapiga marufuku ila gonamwitu anaitumia kwa siri,na matokeo yake tunayaona.
 
Back
Top Bottom