Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Aamke asije kunya kwenye mashukaKiapo kama chako, vipo vingi humu JF.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aamke asije kunya kwenye mashukaKiapo kama chako, vipo vingi humu JF.
Barcelona walikua na Messi walikufa 8 unazungumzia Mpanzu ambae hajafika kiwango cha Pacome Prof...Nna mpanzu nafungwaje sasa?
KumekuchaaMimi sitakuwepo trh 8 nitakuwa kwny mfungo wa kwaresma...
Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga jkt? Pacome huyu aliyeshindwa kuwafunga pamba? Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga mc alger? Barcelona ilikuwa mbovu na messi alikuwa kazeeka ndio maana ilifungwa 8 na bayern. Barcelona ya xavi na iniesta unadhani bayern wangetamba?Barcelona walikua na Messi walikufa 8 unazungumzia Mpanzu ambae hajafika kiwango cha Pacome Prof...
Na sisi tunataka wachezaji wenu muhimu wawepo ili tukiwashenyenta msilete visingizio.Kwasasa Yanga haina majeruhi kwa wale wachezaji muhimu wote wapo, naona mechi ngumu kwa simba ila Mzize naona atafunga goli kama lile alilowafunga Mazembe niliusikia mvumo wa mpira nikiwa uwanjani upande ule aliofunga.
Mechi hii ni ushindi kwa Yanga maana kuna mjomba wangu nampenda sana kolo mzee huwa anataka nijaze king'amuzi chake aangalie derby home na hajawahi kufurahi nikijaza na tayari nimejaza najua atalia tu tar 8 ila si kazi yangu atajiju.
Hiyo unayoisema ilichukua kombe mara ngapi la uefa maana rekodi Mjerumani kabeba zaidi ya Barc mpira ni rekodi sio maneno mengi..Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga jkt? Pacome huyu aliyeshindwa kuwafunga pamba? Pacome huyu huyu aliyeshindwa kuwafunga mc alger? Barcelona ilikuwa mbovu na messi alikuwa kazeeka ndio maana ilifungwa 8 na bayern. Barcelona ya xavi na iniesta unadhani bayern wangetamba?
Kijana acha kujipa uspesho usio na sababu. Ufute akaunti yako ya jamii forums, au uache kushabikia mpira baada ya kichapo, inatusaidia nini? Au tutapungukiwa nini? You are just a nobody, ok?Tell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA kutoka viunga vya msimbazi.
Kwa hakika itakuwa ni huzuni kubwa katika taifa la Tanzania wanayanga watalia kichina, watalia kisandawe, watalia kimakonde, watalia kijerumani na bado haitawasaidia kwasababu watakuwa wamezikwa futi 6 chini na kaburi lao tutalijenga kwa zege ili kama hawajafa vizuri wakishtuka wasiweze kutoka milele. Na hapo ndipo watakapomkumbuka marehemu komba na wimbo wake wa mapambio taifa lahuzunika.
Mark my words yanga asipokufa chuma 3 kwa 1 nafuta account ya jamiiforums na sijihusishi tena na mpira mpaka ntakapokufa.
Magoli ya simba yatafungwa na wachezaji wafuatao:
Ateba
Mpanzu na
The wonder kid "Ladack jumaa Chasambi"
Goli la kufutia machozi la yanga atafunga mzinze.
"A man called gonamwitu"
Hana jipya atakuja badilisha usemi, wako walioweka rehani wake zao na bado mambo ikawa ngumu. Hizi mambo za mpira zinawapa pressure na sukari juuKiapo kama chako, vipo vingi humu JF.
Mimi siyo mlinzi kama wewe, humu jamiiforums nina mchango mkubwa sana kuhusiana na masuala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kimichezo.Kijana acha kujipa uspesho usio na sababu. Ufute akaunti yako ya jamii forums, au uache kushabikia mpira baada ya kichapo, inatusaidia nini? Au tutapungukiwa nini? You are just a nobody, ok?
And don't panic, ok?
simba kuifunga yanga kwakweli itaakuwa habari kubwa sana ila sio afrika mashariki na katiTell your friends and get your friends to tell their friends tarehe 8, mwezi wa tatu pale kwenye jumba la kutisha ESTADIO DE BENJAMIN MKAPA yanga atakufa 3 kwa 1 dhidi ya SIMBA DUME LENYE NJAA kutoka viunga vya msimbazi.
Kwa hakika itakuwa ni huzuni kubwa katika taifa la Tanzania wanayanga watalia kichina, watalia kisandawe, watalia kimakonde, watalia kijerumani na bado haitawasaidia kwasababu watakuwa wamezikwa futi 6 chini na kaburi lao tutalijenga kwa zege ili kama hawajafa vizuri wakishtuka wasiweze kutoka milele. Na hapo ndipo watakapomkumbuka marehemu komba na wimbo wake wa mapambio taifa lahuzunika.
Mark my words yanga asipokufa chuma 3 kwa 1 nafuta account ya jamiiforums na sijihusishi tena na mpira mpaka ntakapokufa.
Magoli ya simba yatafungwa na wachezaji wafuatao:
Ateba
Mpanzu na
The wonder kid "Ladack jumaa Chasambi"
Goli la kufutia machozi la yanga atafunga mzinze.
"A man called gonamwitu"
Na ile derby pia ulisema utakua sehemu ambayo haina internet 😄😄Mimi sitakuwepo trh 8 nitakuwa kwny mfungo wa kwaresma...
Duuh una kumbukumbu hatariii..Na ile derby pia ulisema utakua sehemu ambayo haina internet 😄😄
Na hii utakua kwenye mfungo basi tutakupa matokeo wala usiwaze..
😂😂😂 Huyu wa mechi 9 gori 2?Ulinifunga wakati sina elie mpanza sasa hivi nna mpanzu unanifungaje mimi?