GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimecheka sana hiyo kauli ya Mzee Jakaya Kikwete.Wazaramo Wenye Mji wao wanasema
"Usinene ukamala"
Usiongee Ukamaliza.
Kikwetwe alipokwenda zanzibar Kusikiliza kero za Muungano
Wazanzibar walitapika Nyongo. Kikwete akasema Muwe mnabakisha maneno ya kesho.
USHAURI TU.
Ndugu kwaresma ni kuanzia tar 12Mimi sitakuwepo trh 8 nitakuwa kwny mfungo wa kwaresma...
Naanza mafungo yangu mwenyewe kabla ya kufunga rasmi...Ndugu kwaresma ni kuanzia tar 12
Una presha ya mechi wewe sio bureNaanza mafungo yangu mwenyewe kabla ya kufunga rasmi...
Tutajua baadae kama nina presha au la stay tuned.... 😊 😊Una presha ya mechi wewe sio bure
Naunga mkono hoja 🤣 😁 huyu ilifaa atoe ahadi ya banned Kabisa 😂 😂Bahati mbaya account JF hazifutiki
😄😀😀😀😀😀😀😀Tutajua baadae kama nina presha au la stay tuned.... 😊 😊
Kwaresma njema in advanceTutajua baadae kama nina presha au la stay tuned.... 😊 😊
Rage ajengewe mnara wa kumbukumbuUlivoandika tu Mzinze, nikajua ni wale wale wadau wa Rage
Nimecheka sana hiyo kauli ya Mzee Jakaya Kikwete.
Kweli alisema hayo?
Ulinifunga wakati sina elie mpanza sasa hivi nna mpanzu unanifungaje mimi?Huwa mnaanza hivi kabla ya matokeo halisi ya mechi!!, Baada ya dk 90 kilio kinakuwa maduka yenu mara bahasha ya Gsm. Sasa awamu hii tuambieni tatizo lefa,bahasha au bado kuna maduka yenu.... Maana naamini atakaye wachomesha ni Chemalone.
Sasa hivi nna elie mpanzu unanifungaje sasa?Kabla hujatoa ahadi kama hii jiulize hii ID yako unayotaka ifutwe ina manufaa gani hapa JF? Mnatoa ahadi ambazo mna uhakika haziwezi kutekelezeka kwa sababu hakuna matokeo kama hayo yatatokea. Low minded kolos wenzako wanafall kwenye huo mtego wako wa kitoto.