Haya ndio matukio 8 ambayo hayawezi sahaulika kwa wadau wa soka Tanzania na kote Duniani

Haya ndio matukio 8 ambayo hayawezi sahaulika kwa wadau wa soka Tanzania na kote Duniani

Kuna matukio ya kukumbuka kama head butt ya zidane, miracle in instanbul, Suarez saga, n.k n.k

Lkn kiboko yao na kubwa kuliko ambalo sitokuja kulisahau ni lile la simba 1-5 yanga. Kmmmmk nilishangilia kis**nge
 
suarez akudaka mpira ukiwa unaelekea golini, mpira ulishavuka line wote yaani aliutoa golini, refa ndo alikuwa mduazi badala ya kuita mpira kati, akaishia kumpa kadi na kutoa penalt. kimsingi ndo maana suarez alishagoma kuomba msamaha kwa kile kitendo. wa kulaumiwa ni refa na wasaidizi wake sio suarez.
Hapakua na var wala goal line technology refa akuona kama mpira umevuka mstari. Kwa faida ya timu yake alichokifanya suarez ni sawa katika mazingira yale hata ningekua mimi ningeudaka ule mpira
 
Back
Top Bottom