Haya ndio nitakayoyafanya 2024 afe kipa afe beki, wewe je?

Haya ndio nitakayoyafanya 2024 afe kipa afe beki, wewe je?

Akili za watanzania wengi zinafanana ndio maana kupata atakayeleta mapinduzi sio rahisi ...Huo ndio mtindo kila mtu kuchukua mkopo kwenda kujenga huku miaka sita yote akiishi kwa kukopa kwa watu wengine.

Kama unaweza chukua mkopo then secure kiwanja ,nyingine kafanye mishe zao kama akili yako inavyokutuma.
Nadhani hili lipo kwa watumishi wote. Ni nadra sana kukuta mtumishi anawaza nje ya kukopa na kujenga.
 
Back
Top Bottom