Mwingine huyu hapa ...Daaa!! wewe umekulia humu humu mpaka umekuwa maarufu!! hii picha yako ni halisi ni kama nakuonaga kariakoo posta wewe!! na sometimes sana palee mtaa wa sikukuu ---COmforty Dispensary !! kwa Saju Hotel au siyo wewe Mzee??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hiyo picha si y amsanii Ja rule jamani au [emoji23][emoji23][emoji23]
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ko Ja rule anapatikana posta siku hizi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo mie mwenyewe hujakosea!Hiyo picha si y amsanii Ja rule jamani au [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ulomsema unamuonaga kariakooNdo mie mwenyewe hujakosea!