Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Am not hater mkuu.Kwa kipi cha maana alichonacho mpaka niwe hater wake!!??nachukia upumbavu pumbavu..
😂😂 Imebidi nicheke tu, brother inaonekana unakereka sana mtu akikukera nenda kwa jina lake bonyeza ignore button...hauoni tena mambo yake.
 
Kwani mnafahamiana ?
No no...kwan mkuu mbona upumbavu wa mtu ni rahis tu kuujua .
NB
.humu ndan nafahamiana na dogo mmoja tu huyu dogo licha ya kumzid umri ila namkubal sana maana alinishauri niache kazi kisa nalipwa 700k wkati yeye hata kazi hana ila alinipa reasons. nikarud mtaan kuanza upya after 6 months nikapata deal ya kulipwa 4x ya mshahara wa kwanza.Na hiyo yote hatukua tumeonana.So humu ndan najuana na mtu mmoja tu...
 
Aisee. So, Wangari tatizo lake ni nini hasa ?
 
Kuna makundi sijayaona

1.Mataga ...wao kila thread lazima waseme .
'mtanikumbuka'..na mengineyo ..

2. Machizi mpira..
..lazima walete matokeo ya mechi ya mpira hata thread za siasa..

3.machizi Ku bet..
Hawa nap kila thread wataingiza habari za mkeka..

4.wabishi wa ligi na thread zao maalum
Kuna ligi ya miaka mingi Sana bado inaendelea...
Kuna thread mbili zinakimbizana miaka na miaka ...moja imeandikwa thread ya kupeana likes na kuandika chochote
Na wengine wale wa thread ya pili wanajiita makapuku forum ..wanaoshindana nao ..hawa nao hawakubali kushindwa miaka inaenda bado wanashindana....

5..Wanaoingia JF kwa thread zao maalum
Kuna kimasihara,picha za warembo n.k
 
Back
Top Bottom