Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Pancho mkuu unakosea sana, muombe msamaha Wangari Maathai this is not fair at all/ it’s not acceptable
Kwani mkuu mbona wametajwa wengi Why aombwe msamaha yeye tu?
After all it's fun na wala sio kweli kwamba ndiyo maisha ya watu tajwa kiukweli..
Sielewi uadui unaosemwa uko wapi
 
😀😀 Kwa kweli, na wewe mbona hujalala tatizo nini?
Usingizi umekata tangu saa nne nipo macho, sioni hata dalili za kulala....

Nasubiria tu ifike saa 12 nitumie cha asubuhi kutoka Tigo.
 
Huyu CHIEF MKWAWA apewe heshima nyingi sana, mkaka mstaarabu sana, hachoki kutoa ushauri, anamjibu kila mtu tena kwa kirefu, anajitolea muda wake mwingi sana kutusaidia sie tusiojua mambo ya technology,

Na huyu mkwepu jr ana heshima yake pia, hana makuu yeye anagonga like tu.

Yote kwa Yote, JF ni kiwakilishi cha jamii tuliyonayo, huu ni ulimwengu uliojitosheleza, uyaonayo humu ndiyo hayo hayo yaliyopo mtaani.
 
Back
Top Bottom