Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Asante sana chairperson

Mkuu ningeshangaa kama list yako angekosekana ndugu yangu Extrovert ....Huyu jamaa umemuweka kundi lenyewe kabisaaa...Halafu sasa, akicomment basi ni masihara 99%..ila asipocomment atalike...na huwa ananishangaza sana maana hata likes zake nyingi ni za kucheka tu hata kwenye vitu visivyochekesha....
Ukiona kwenye post yako wamelike wadau hata mia na kicheko kimoja...usipate tabu kujua huyo mmoja aliyecheka kati ya hao 100 ni Extrovert..Sijui ana bandama kubwa!!!

Additional point
Inaonekana mtoa mada una mzimia sana/ unamchukia sana Wangari Maathai ....moja kati ya hayo ni majibu.
Extrovert is ma buddy.....

Ni mtu asiyetaka tabu za kiwaki....huishi freely kama ndege angani.....stress za kijinga za nini kwake ?!!! 🤣🤣
 
Unaona mpaka anasahau siku.

Me katika vitu ambavyo sitakaa nipate joto la makalio, ni kuwawazia member wa humu.
Haya, katutaja...kapata faida gani?
Akwendree zake huko na usponyo wake.

Tena leo nina mood nzuri ndo mana sitaki kumchamba sana huyo.
Labda baadae nikipata stimu...
Msambaa una manenooo 🤣🤣
 
Kitendo cha
Wangari Maathai
Kuwepo kila group inatosha Mods kum block[emoji2089][emoji2089]
 
Back
Top Bottom