Haya ndiyo maajabu niliyojionea mlima wa Hanang Katesh Manyara

Sijui unamaaanisha kilele kipi? Lkn kama ni kule juu ya mlima Hanang kunafikika vizuri, huu upande uliomomonyoka juzi kati ni ngumu kupanda mlima ila Kuna upande (jiina la kile kijiji sikumbuki) kunapandika vizuri slope ya kawaiida
Kweli maana pale Kuna kama milima miwili mwingine huwezi kabisa panda ukiwa mlima wa mwanzo
 
Acha tu pale kuna chumvi safi kabisa nyeupe kama theluji miaka ya 95 tulikuwa tuna nunua pale gunia kwa Tsh 600 tu,ukifika pale ndo utajua hii nchi imebarikiwa sana,wakenya walikuwa wanakuja kusomba kwa tones kupeleka kwao
Kabisa mkuu japo sikufika ila nilibahatika kuleta kwetu.
 
Kweli maana pale Kuna kama milima miwili mwingine huwezi kabisa panda ukiwa mlima wa mwanzo
Mlima ni mmoja sema ule upande mwingine slope yake imekaaa vzr unapanda zako kule juu ukapige maombi yako ya kisabato kule juu😁, huu upande mwingine mlima umekaaa kama mtu mwenye kitambi kasimama ko kupanda ngumu
 
Ziwa la
Ziwa la chumvi (GIDEWARI)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…