Mi nakumbuka nilianza kupanda huo mlima saa kumi na mbili kasoro alfajili nikafika kileleni saa saba mchana. Kimbembe ni kwenye kushuka sasa kuna mahali unakutana na steep slopes unaweza tamani ukae ushuke kwa kal.io mdogomdogo. Ila siku hizi wameweka camps unaweza kulala then unaendelea na safari next day
Kuna njia ya kutokea Katesh, Gendabi au Gitting unachagua mojawapo japo ya kutokea Katesh ndo famous