Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #101
Haina haja nimekumbushwa aliyegundua ni mzungu mmoja ndo akaita jina la malikia wao kama kumbukumbu.Rudia vitabu vyako vya historia
Ahsantee sana mkuu na panavutia mno ukienda na simu Kali Kwa habari za picha tu aisee hutojutiaSafi sana mkuu, hongeraa
Tunacho shukru sio wachoyo. Sema AmenMadem wengi wa huko miguu yao ni drum stick π€£
Kwa hakika siwezi kuweka picha zangu kama zilivyo.Amesema ni Msukuma tumvumilie tu!
Huwa napita nikienda moshi nakumbuka sana hiyo mirungiSawasawa, mkirudi next time unishtue ntakuja na msuba, tukichanganya na mirungi itakuwa full mziki
uuuwweeeh umenipata vile napenda kutaliiππTwende mwisho wa mwaka π€¨
Moshi mimi ni kama nyumbani tutaftaneHuwa napita nikienda moshi nakumbuka sana hiyo mirungi
Ahsantee sana. Kwahiyo ni uhakika niwa nne Kwa ukubwa? Nataka nirekebishe.
Utafute nauli ya kwenda ya kurudi ntakulipia πππuuuwweeeh umenipata vile napenda kutaliiππ
Tayar ninayo sema kingineUtafute nauli ya kwenda ya kurudi ntakulipia πππ
Tuchekiane around 20 dec π€Tayar ninayo sema kingine
naisubiria kwa hamu hiyo siku hata nikiporomoka baba mchungaji yupoπ€£π€£π€£π€£πUsijali lazima nifanye hivyo mama mchungaji π
imeisha ioTuchekiane around 20 dec π€
Mti pori pureSwali langu, je hiyo mirungi imepandikizwa huko ama ni miti pori?
Tutajipiga mapicha ya kutosha na tutayaanzishia na uzi kabisa π€£π€£π€£imeisha io
Sawa mkuu mwezi ujao nitakucheki hapahapa tupeane noMoshi mimi ni kama nyumbani tutaftane