Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Ukitaka soma, ukitaka acha lakini ukweli ni kwamba haya maandamano ya Freeman na washirika wake ni ya hovyo na sijawahi kushuhudia.
Wanaojua kwa nini wanaandamana ni freemani na washirika wake, lakini waandamanaji hawajui kitu chochote!
Hawajui kwa nini wanatembezwa kwenye jua Kali mchana kutwa, hawajui na nawaonea huruma kwakuwa hawajui.
Wakina Freeman wakimaliza maandano jioni ya Leo watakuwa hotelini wakila minofu ya kuku na kushushia john walker pamoja na k vant! Wenzangu na Mimi watakuwa Ituha, Isyesye, Ilemi na Ilolo wakitafuna numbu na kulala fofofo.
Wenzao yaani ile big 8 hawako pale kupoteza muda, wapo kazini na jioni posho inaenda kwa familia zao, nyinyi walala hoi mnaowasindikiza mpaka uwanjani wakabwabwaje Kisha wasema pipooz na nyinyi kwa njaa Kali mtaitikia poweeer.
Mnaonekana malofa! Watanzania tuamke, Tusiwe madaraja au mirija ya kuwaburudisha watu.
Kwa nini hatubadiliki? Wakienda ujerumani wakirudi hawasemi walichovuna kule! Chadema walipewa magari na pesa nyingi na wadau mbalimbali ,yakaishia kusikojulikana big 8 hawajawahi kusema popote.
Chadema hawana mpango wa kuwa watawala ila wanatumia siasa kama kazi na mtaji wao ni sisi manamba tunaovaa kombati na kuingia mabarabarani bila sababu! Tugutuke.