Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

Umeanza Uzi kwa kujihami, kuonesha you are really kylaza.
 
Silipwi na ccm ,naongea ukweli unaouma! Ni kwamba baada ya maandamano wao watalipana posho ! Mimi na wewe tutaendelea kupaluana hapa bila sababu

..Na Ccm nao wanajichana na ruzuku ya bil 1.3 kila mwezi huku wakiendelea kupuuza kero za wananchi.
 
Silipwi na ccm ,naongea ukweli unaouma! Ni kwamba baada ya maandamano wao watalipana posho ! Mimi na wewe tutaendelea kupaluana hapa bila sababu
Wewe inakuhusu Nini, umekereka ndio mana POVU linakutoka, pumbav.
 
Una elimu gani? Chama cha mapinduzi kimezoea kuongoza watu wajinga ndo mana wakiona makundi ya watu yanawahoji ndo wanaibuka nzi
 
Utakuwa mtu mjinga sana wewe zezeta la ccm.
 
Kumbe na wewe uliandamana...Sisi hata yakiwa ya hovyo tutaandamana tuu
 
Vibwengo wa CCM endeleeni tu kupiga punyeto gari limeshawaka hilo
 
Ile siyo asubuhi,gari kibao mkuatanoni unasema asubuhi!!?..watu wamekaa chini,asubuhi gani!?
Ndugu ingia kwenye Media mbali mbali ujionee mwenyewe jinsi Watanzania wa Mbeya na Viunga vyake walivyopokea wito wa Maandamano.
 
Silipwi na ccm ,naongea ukweli unaouma! Ni kwamba baada ya maandamano wao watalipana posho ! Mimi na wewe tutaendelea kupaluana hapa bila sababu
Huwa unajianika kaubongo kako hadi huruma.Maandamano hayakuhusu,haukuitwa wala haukushiriki.Sasa unawashwa nini?
 
CCM inatoa wapi hizo hela? Kama ni kodi zetu hebu tueleze kwa nini CAG anamulika wezi kwenye kila mradi wa umma na hakuna hatua zinazochukuliwa?

Naomba sasa utuambie ubora wa elimu inayotolewa na CCM kwa wanafunzi ktk hizo shule za kata na kwanini viongozi wa CCM hawwthubutu kupeleka watoto wao kwenye shule wanazojenga?

Swali kuntu. Kiongozi gani wa juu ws CCM anayetibiwa kwenye hizo zahanati za Kata?

Haya tueleze CCM imefanya nini kwenye ishu ya umeme na mfumuko wa bei?

Vp kuhusu rekodi ya Haki za Binadamu tuambie CCM imeimarishaje na uhuru wa maoni na faragha za mawasiliano?

Nasubiri jibu
 
Unapata tabu ukiwa wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…