Haya ndiyo maandamano ya ovyo kuwahi kutokea katika nchi yetu. Hata wanaoandamana hawajui kwanini wanaandamana!

Haina tofauti na wanachama wengi wa CCM ambao wanaburuzwa kwenda kupiga kura na hawajui kwa nini wanachagua chama kinacholikwamisha Taifa kimaendeleo..

Wachache ndani ya CCM ndo wanafaidika
CCM wanaonufaika hawazidi elf 5 wengine wote wanasindikiza pekee
 
Mmesha waswagwa dar, Mwanza na Mbeya, kwenye hub muhimu zote, na hali haikuwa nzuri ilivyotegemewa, sasa uongozi mnategemea kuziswaga nyumbu pande zipi, nadhani mwende DODOMA/ARUSHA/MOSHI, sasa,Ndizo point zilizobaki.
 
Kwa mbowe hii ni faida maana akienda ujerumani na kujiita chama cha upinzani anapewa grant ya kuendeleza democrasia

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mmesha waswagwa dar, Mwanza na Mbeya, kwenye hub muhimu zote, na hali haikuwa nzuri ilivyotegemewa, sasa uongozi mnategemea kuziswaga nyumbu pande zipi, nadhani mwende DODOMA/ARUSHA/MOSHI, sasa,Ndizo point zilizobaki.
Wanaandanmana hadi na vibaka wale wanaoona maandamano ni furusa maana wanaweza kudokoa chochote kitu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…