Haya ndiyo madhara ya kuingia na matokeo mfukoni,Hajji Manara uzalendo umemshinda ameamua kumwaga mboga

Haya ndiyo madhara ya kuingia na matokeo mfukoni,Hajji Manara uzalendo umemshinda ameamua kumwaga mboga

Yanga ndio mliobebwa,ile penati ilitakiwa iwe faulo nje ya box na mchezaji wa yanga apatiwe kadi nyekundu kwa kuwa ndio alikuwa wa mwisho.

Tujiulize ingefanyika hivyo ingekuaje,je yanga bado mtaendelea kumlaumu refa???
 
Huyu guluguja anaufahamu mpira huyu kenge?. Analeta siasa kwenye soka. Anafikiri humo uwanjani mambo ni simple sana?. Zaidi ya yote mechi ya simba na Yanga si ya kimchezo mchezo kama anavyodhani. Hata mojawapo iwe mbovu,lakini zikikutana,ni mpira usiotabirika kiwepesi. Ngoja waanze kutimuana. Waanze na Manura

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkwasa ule ulikuwa Mtihani wake muhimu wa kubaki Jangwanii, ila hakujibu swali kama professional Coach kwenye press conference baada ya mechi.
 
Aussems alisema Kuna watu wasiokuwa na elimu na mpira hawafai kuwepo pale Simba .

Huyu jamaa ni mmoja wapo

Sijui wanamuogopa nini

Ana mdomo mchafu Sana



Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Huyu guluguja anawaharibia. Na ni mpambe wa mo balaa. Ona lugha kama hizo,za kuwatoa kabisa wachezaji kwenye kiwango. Hapo manura hana chake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika ujinga ujinga mbona?
Inamaana ni dhambi kuhamsisha timu yako na mashabiki kwa ajili ya mechi husika?

Simba ingeshinda inamaana bado ungekuja hapa na kusema ilikuwa haramu kwa haji kuhamasisha watu waende uwanjani kwa wingi kushangilia timu yao?

Inamaana katika SOKA la kisasa ambapo pesa inahusika ulitaka mchezaji aache kwenda pesa ilipo alafu iweje?

Na ulivyo juha.unasema eti yanga walitaka mchezaji Simba wakaingilia kati kumsajili,kwani hili ni jambo jipya duniani?

Eti kuwa na kikosi kipana nako kubaya? Umasikini wa yanga usitumike kuzifanya timu zingine zikashindwa kusajili,hukuwaona Madrid wa miaka ile ya Rinaldo? Ama timu kubwa duniani zinavyofanya?

Tafakari ulichoandika kisha sabinisha na uhalisia ndio utagundua kuwa umednaika ujinga
Una haki ya kuamini unavyoamin, ila huna haki ya kunisemesha nisichokisema. Labda mara nyengine jaribu kuona tofauti ya kuhamasisha na kukejeli ndiyo utaweza kutoa hoja muwafaka na kauli yangu. Kadhalika jaribu kutofautisha baina ya kikosi kipana na kusajili wachezaji wengi. Kwa Taarifa yako, unaweza kuwa na watu 11 tu ndani ya timu na bado ukawa na kikosi kipana kwa kuwa na wachezaji wengi wanaoweza kucheza nafasi nyingi kwa ufasaha na hivyo kubadilisha mfumo bila ya kuingiza wachezaji wa akiba. Na unaweza kuwa na wachezaji 22 usiwe na kikosi kipana iwapo wachezaji hao wote ni wa nafsi hiyohiyo moja kwa kila wawili.
Jaribu pia kuelewa kwamba si kila lilizoeleka ni sahihi, na pia utifautishe baina ya kinachofanyika huko kwengine na wanachokifanya Simba.
Na uje pia Tofauti baina ya upumbavu na ujinga ambao ninaufurahia kwa sababu si dhambi. Dhambi ni upumbavu ambao ishara yake moja ni kushindwa kuelewa kilichojadikiwa na kuzuka na jawabu kichwani, kama vile ile timu ilivyokwenda na matokeo mfukoni.
 
Pumzikeni basi mechi imeisha mmepata sare inatosha maisha yaendelee vyura bana kelele mji mzima
FB_IMG_15781707070271329.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena angeshabeba li smart TV LG inch 40 mbele ya waandishi kuonesha penati ya kweli au si kweli, akili zake anazijua yeye na mashabiki bebwa fc
Ile penati angepewa Yanga kusingekuwa na kiti hata kimoja pale kwa Mkapa! Na Haji saa hizi angekuwa FIFA! Ajabu iliyoko zigo la ubovu wa timu kaangushiwa Manula!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnafiki mkubwa huyo, yeye yupo kwenye ile kamati ya simba ya fitna ya kununua mechi na kuwahonga marefa na anajua kabisa hujuma walizokuwa wamefanya ila shetani kawaumbua, pambaf kabisa kazi yao ni kuuwa mpira wa Tz
 
Haji ni mpumbavu na hana akili. Hao wachezaji wa simba si anaonana nao almost kila siku. Kulikuwa na sababu ya kuandika ujumbe kwa wachezaji wa Simba na kuuandika kwenye social media ? Only in Tanzania.
Ndiyo wanaojiita wenye mpira Ts,halafu tunategemea maendeleo
 
Back
Top Bottom