Zee la Mandandu
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 1,064
- 2,603
Acha makasiriko dogo.Ulitakuwa uweke mafanikio yako tangu uanze kuishi hadi leo.
Kuweka mafanikio ya wanaume wenzio ni ufala, ni upumbavu na ulofa wa viwango vya juu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha makasiriko dogo.Ulitakuwa uweke mafanikio yako tangu uanze kuishi hadi leo.
Kuweka mafanikio ya wanaume wenzio ni ufala, ni upumbavu na ulofa wa viwango vya juu.
Umechelewa kuwekaNtaweka mkuu ..but now let's discuss this...
Na wewe ni Mwakarobo jr?Acha makasiriko dogo.
Wanadai wao hawakutolewa Ila Simba ndio katolewa. Kuna kocha aliwahi Kuwaita manyani😂😂Na wewe ni Mwakarobo jr?
Kuna mafuriko huku kwetu kisongo Ila imebidi nicheke kwa sauti baada ya kusoma hii comment yako mkuu 😂😂Wanadai wao hawakutolewa Ila Simba ndio katolewa. Kuna kocha aliwahi Kuwaita manyani😂😂
Nimeona magari yanasombwa. Huko niliko tunalala kimachale. Mvua ikianza lazima uwe macho. Timu imefika robo fainali halafu inaitwa mbovu. Imemaintain miaka mitatu mfulilizo japo haijapanda lakini haijashuka. Hawa shabiki WA Yanga nikuwaignore Tu. Refa alietuheshimisha SA kapangwa kwenye mechi kubwa zaidi. Timu gani kila shabiki anajifanya anajua Sheria za mpira🤓🤓🤓Kuna mafuriko huku kwetu kisongo Ila imebidi nicheke kwa sauti baada ya kusoma hii comment yako mkuu 😂😂
Wana utoto mwingi sana, Ila walikua wataacha utoto.Hawa shabiki WA Yanga nikuwaignore Tu.
Nitazingatia hili, asante kwa ushauri.Mvua ikianza lazima uwe macho.
Hao.. ndio gold diggers.. wanaangalia MWANAUME mwenye MAFANIKO zaidi.. inasikitisha sana..Ulitakuwa uweke mafanikio yako tangu uanze kuishi hadi leo.
Kuweka mafanikio ya wanaume wenzio ni ufala, ni upumbavu na ulofa wa viwango vya juu.
Hivi huyu Laban og ni Me ama Ke?Hao.. ndio gold diggers.. wanaangalia MWANAUME mwenye MAFANIKO zaidi.. inasikitisha sana..
Jamaa linafatilia Wanaume wenzie wana mafanikio gani.. sijui linataka liolewe
Ushabiki wako muda mwingine unakufanya uonekane kama una matatizo ya akili 😂😂😂Ndani ya misimu miwili tangu waajiriwe kuwa wasemaji wa klabu za Yanga na Simba.
𝗔𝗹𝗹𝘆 𝗞𝗮𝗺𝘄𝗲 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗦𝗖
◉ Ubingwa ligi kuu — [emoji471][emoji471]
◉ Ubingwa (FA) — [emoji471][emoji471]
◉ Ubingwa ngao ya jamii — [emoji2924]
◉ Fainali CAF-CC — [emoji1627]
◉ Robo fainali CAF-CL — [emoji1626]
◎ ____________________
◎ _________________
𝗔𝗵𝗺𝗲𝗱 𝗔𝗹𝗹𝘆 𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗦𝗖
◉ Ubingwa ngao ya jamii — [emoji2924]
◉ Robo fainali CAF-CL — x2
◉ WhatsApp Channel
◉ Kibegi
◎ ______________________
Tom cruzView attachment 2960521
Ni Ke si unaona lkn hayo mambo anaweza fanya Mwanume?Hivi huyu Laban og ni Me ama Ke?
Nakubaliana na wewe mkuuNi Ke si unaona lkn hayo mambo anaweza fanya Mwanume?
Hahahahaha...we jamaa una utani wa jadi sana ujueMakolo bila ndumba hawatoboi
Sana yaniNi aibu [emoji23]