Haya ndiyo mafanikio ya wasemaji kati ya Ali kamwe na Ahmed ally

Haya ndiyo mafanikio ya wasemaji kati ya Ali kamwe na Ahmed ally

Kuna mafuriko huku kwetu kisongo Ila imebidi nicheke kwa sauti baada ya kusoma hii comment yako mkuu 😂😂
Nimeona magari yanasombwa. Huko niliko tunalala kimachale. Mvua ikianza lazima uwe macho. Timu imefika robo fainali halafu inaitwa mbovu. Imemaintain miaka mitatu mfulilizo japo haijapanda lakini haijashuka. Hawa shabiki WA Yanga nikuwaignore Tu. Refa alietuheshimisha SA kapangwa kwenye mechi kubwa zaidi. Timu gani kila shabiki anajifanya anajua Sheria za mpira🤓🤓🤓
 
Ulitakuwa uweke mafanikio yako tangu uanze kuishi hadi leo.

Kuweka mafanikio ya wanaume wenzio ni ufala, ni upumbavu na ulofa wa viwango vya juu.
Hao.. ndio gold diggers.. wanaangalia MWANAUME mwenye MAFANIKO zaidi.. inasikitisha sana..

Jamaa linafatilia Wanaume wenzie wana mafanikio gani.. sijui linataka liolewe
 
Ndani ya misimu miwili tangu waajiriwe kuwa wasemaji wa klabu za Yanga na Simba.

𝗔𝗹𝗹𝘆 𝗞𝗮𝗺𝘄𝗲 𝗬𝗮𝗻𝗴𝗮 𝗦𝗖

◉ Ubingwa ligi kuu — [emoji471][emoji471]
◉ Ubingwa (FA) — [emoji471][emoji471]
◉ Ubingwa ngao ya jamii — [emoji2924]
◉ Fainali CAF-CC — [emoji1627]
◉ Robo fainali CAF-CL — [emoji1626]
◎ ____________________
◎ _________________

𝗔𝗵𝗺𝗲𝗱 𝗔𝗹𝗹𝘆 𝗦𝗶𝗺𝗯𝗮 𝗦𝗖

◉ Ubingwa ngao ya jamii — [emoji2924]
◉ Robo fainali CAF-CL — x2
◉ WhatsApp Channel
◉ Kibegi
◎ ______________________

Tom cruzView attachment 2960521
Ushabiki wako muda mwingine unakufanya uonekane kama una matatizo ya akili 😂😂😂
 
Back
Top Bottom