R ruaharuaha JF-Expert Member Joined Feb 14, 2018 Posts 3,586 Reaction score 3,857 Dec 23, 2021 #21 Sky Eclat said: Huu ukulima wa Jembe la mkono ni vigumu kututoa kiuchumi. Una Lima mazao Tanga tu hapo lakini huna uhakika wa soko. Click to expand... Hizi changamoto sio kubwa kivile. Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana. Sasa tuna, udongo mchanga, eneo, wazazi, tunaweza kuanza kujenga nyumba kwa kila mwanakijiji kutumia material, nguvu kazi, zinazopatikana hapo. Shule, hospitali, barabara hivi vyote unaweza kujenga ndani ya mwaka mmoja.
Sky Eclat said: Huu ukulima wa Jembe la mkono ni vigumu kututoa kiuchumi. Una Lima mazao Tanga tu hapo lakini huna uhakika wa soko. Click to expand... Hizi changamoto sio kubwa kivile. Uwezo wetu wa kufikiri ni mdogo sana. Sasa tuna, udongo mchanga, eneo, wazazi, tunaweza kuanza kujenga nyumba kwa kila mwanakijiji kutumia material, nguvu kazi, zinazopatikana hapo. Shule, hospitali, barabara hivi vyote unaweza kujenga ndani ya mwaka mmoja.