Haya ndiyo majibu ya Diaspora wengi wa kibongo ukawaambia unataka kuja nje πŸ‘‡πŸ‘‡

Tatizo la Wabongo ni Uadilifu. Unaweza kumpokea mtu ughaibuni, baada ya muda akakuibia au akafanya uhalifu ugenini. Mwisho unajumuishwa kwenye kesi
 
Tatizo la Wabongo ni Uadilifu. Unaweza kumpokea mtu ughaibuni, baada ya muda akakuibia au akafanya uhalifu ugenini. Mwisho unajumuishwa kwenye kesi
Hili nalo neno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…