Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Hili suala la kujenga malambo ya kuzalisha umeme linatakiwa kuwa endelevu. Bado tuna potential kubwa sana ya umeme wa maji.Ethiopia wana Megawatts kama 10,000 hivi. Sisi nafikiri hata Stigler gorge ikiisha hatupiti 3000MW.
Baada ya miaka kumi tunakuwa na upungufu tena wa umeme. Ukizingatia vitu vingi vitakuwa vinatumia umeme, SGR, magari, Viwanda vikubwa, watu wanaongezeka nk.
La kwetu lipo wapi sasa.
Hili suala la kujenga malambo ya kuzalisha umeme linatakiwa kuwa endelevu. Bado tuna potential kubwa sana ya umeme wa maji.
Orodha Itakuwa BatiliLa kwetu lipo wapi sasa.
Namba 2Hili la kwetu linakuja kuingia namba 3 hapo
Ni nyingi sana ukiwa na mawazo finyu.Hili bwawa la Nyerere ni bwawa la maono,nchi ilifikia mahali ni lazima iwe na bwawa kama lile,kinyume cha hapo hali ingekuwa mbaya sana,hata hivyo hatuko pabaya 2500 MW ni nyingi sana...