Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

kuna jamaa kidogo anivunje miguu mwaka Jana Ni hivi huyo jamaa Ni mrefu alikuwa amevaa vazi jeupe pee kapanda punda sasa Kama ya SAA sita usiku narudi home boda kanishushi mbali kidogo sababu ya matope kwa mbali namuona huyo jamaa aisee vipaji vya mbio kumbe tunavyo niliingia chap ndani ile kuchungulia jamaa anipita zake taratibu kumpigia simu mwanangu mmoja kitaa akacheka akanambia huyo Ni brother flani kawa Kama kichaa Sa hiv Ana punda wake anajiita nabii mteule kumbe watu kitaa walisha sala Sana mwana kutembea vile usiku jamaa alikuwaaga fresh tuu SAA hiv chizi dah alinifungua turbo Yule mwehu hahaha
 
[emoji16] Ulitembea vibaya mno

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nimecheka sana mkuu, sema nn ungepiga hata ayatul-qursiyy [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Binafsi sijawahi kutana na mauza uza labda Moja tu nilitokaga kuangalia UEFA ilikua Madrid na Bayan kitambo tu nikapita mahali nikasikia nywele zimesimama alafu gafla nikasikia jotoo njia ilikua inapita katikati ya mahindi kuangalia pembeni kwenye jiwe Moja hivi kasimama bonge Moja la bundi macho Yana wakaaa aisee nilitoka mbio Moja hiyo uzuri mbalamwezi ilikua inawaka haswa
 
[emoji16] mabundi huwa yanatisha usikuu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Thibitisha.
 
Hadithi za madereva wote zinafanana, si wamalori, matrekta, bajaji na bodaboda, kasoro wa mikokoteni na baisikeli.
 
Hii ni simulizi yatatu ikionyeshakanda ya ziwainaongoza kwa ulozi,simulizi moja ni toka kwa umughaka,y pili simkumbuki jina ila inaitwa babu yangu kama rafiki yangu na wewe hii
Hili nalizibitisha....
Wasichana WA kazi WA tatu nilioetewa kutokea hukommoja ana makorokoro ya kuwangia
Wengine sawa za kujilinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…