ee bwana Nikiwa chuo miaka flani ,niliopoa pis ya chuo kozi tofauti na Mimi. .tukawa tuna date nae,. Nikumbuka siku Moja Ile pisi ilikuja geto usiku ,muhuni nikajikoki kula mzigo.
Bas bana badae usiku nkala mzigo then tukalala ,Ile mida ya usku nikawa naota ndoto pisi inanikaba Tena inanikaba huku inacheka ,mim sio mtu Wa dini sana japo nimelelewa kikristo ,nikaanza kikemea kwa jina la Yesu ndio mm kupata ahueni kushtuka hiv pisi siooni kitandan kumbaka hapo ni ghetto usiku. Afu night Kali ,kwanza nikahisi hii ni ndoto ,kujichek mbna sipo ndotoni ,nilikaa kama dk 20_30 mtu simuon sio yeye ,Wala nguo zake ,hata viatu sioni duuh...nilitetemeka vibaya mno ,,...yule bint Toka siku Ile usiku sjawai muona .nikajaribu kuulizia watu Wa kozi wote wanakataa hamna bint WA namna hiyo ,piga namba zake hapatikani ,lkn nakumbuka tulipiga story za chuo ,kipindi kile boom lilichelewa tukawa tunafarijiana
Toka siku hiyo skuwai lala geto peke yangu mpaka namaliza chuo.
Aliniacha na maswali mengi sana