Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

Recently???
Mimi pia naonaga watu wanaoangukaga mapepo kama vile sio wote ninmapepo
 
(1) sitosahau nilipokutana na mtu mrefu asiyekuwa na mwisho inasadikika ni jini

Hiyo statement hapo juu inaonyesha hata ulichoandika hukijui.
 
Ndio mkuu ugonjwa huo tinnitus ulijitibia vipi??
 
(1) sitosahau nilipokutana na mtu mrefu asiyekuwa na mwisho inasadikika ni jini

Hiyo statement hapo juu inaonyesha hata ulichoandika hukijui.
NAKUONA KUU LA WACHAWI UNAPAMBANA KUDHOOFISHA MADA [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
(1) sitosahau nilipokutana na mtu mrefu asiyekuwa na mwisho inasadikika ni jini

Hiyo statement hapo juu inaonyesha hata ulichoandika hukijui.
Nitathibitisha vipi Kama yeye ni jini wakati yeye hakujitambulisha Kama ni jini ndiyo maana nikasema inasadikika

Acha uzwazwa na ujuaji utafikiri ulikuwepo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kwanini ukiwa na hela huonagi mambo ya ajabu!!!. Au basi....sababu hili nalo ni jambo la ajabu.
 
Watu walijua siku tano kabla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…