Wewe tu unaona sio sawa. Ila serikali inapeleka kitambulisho kwenye ofisi ya kata yako uliyojaza wakati unajaza taarifa za kuomba NIDA.Binafsi nimejaribu kukitafuta Kitambulisho changu cha NIDA, bila mafanikio yoyote, ofisi za Kata hakipo, ofisi za serekali za mitaa hakipo, japo nilihama eneo, nikaendelea labda nilijikomfuzi, wapi sikufanikiwa kukipata, Dar ni kubwa mihangaiko ni mingi, nawashauri nida pale ambapo mtu alipeleka maombi ya Kitambulisho na kupata namba yake, ndipo pawe mahala pa kuchukulia Kitambulisho chake! Kwa ni rahisi zaidi mtu kukumbuka pale alipopeleka maelezo yake kuliko huku mitaani ambako watu wanahama kila uchwao na kupoteza kumbukumbu,
N. B,
Vitambulisho vyote virudishwe nida ofisi za kanda watu wakavichukue huko.
Tatizo kubwa taasisi zetu za serikali na teknolojia, bado wapo mbali sana,leo hii ingekuwa kitu kama NIDA hata siyo cha kuzungushana miaka,tena ingewezekana mtu apate ndani ya muda mfupi,au hata masaa sabini na mbili, sasa hivi unaweza pata namba,kitambulisho ukabaki kukisubiri zaidi ya mwaka mmojaAidha NIDA watayarishe apps ngamuzi ambayo utakuwa unaingiza nambari yako nayo iwe inakuelekeza uende wapi ukakichukue! (au kipo wapi) uende!
Tatizo kubwa taasisi zetu za serikali na teknolojia, bado wapo mbali sana,leo hii ingekuwa kitu kama NIDA hata siyo cha kuzungushana miaka,tena ingewezekana mtu apate ndani ya muda mfupi,au hata masaa sabini na mbili, sasa hivi unaweza pata namba,kitambulisho ukabaki kukisubiri zaidi ya mwaka mmoja
NIDA is a National disgrace!Nida wasumbufu sana
Me kitambulisho kilipelekwa December 2023 nikaja enda mkoa nilikojiandikisha October 2024 bado kilikuwepoKwa kuwa kuna waliojiandikisha mbali mikoani NIDA waweke angalau muda wa miezi mitatu mtu ajipange kufuatilia kitambulisho chake huko mbali mkoani. wasiweke muda mfupi kusitisha matumizi ya namba ya kitambulisho, hii ni kama wanashitukiza wananchi. waweke muda wa kutosha mwananchi aweze kufuatilia NIDA yake huko alikojiandikisha
Acha wafute TU. Tanzania Tuna mambo ya ajabu sana. Unaeza ukakuta Kuna wapuuzi wamekaa wakaona wafute watu wajiandikishe upya ili wapige hela.wasifute namba wataleta usumbufu mkubwa kwa wananchi, watoe muda angalau miezi mitatu watu waanze kuvitafuta na kuvifuata huko mbali walikojiandikisha
urahusishaj unafanywa na nan ? -watumishi walioajiriwa na ccmu?Mkuu hapa siilaumu CCM, chama kimesha fanya lake vizuri sana, point ni urahisishaji wa jinsi ya kupata vitambulisho!
Tumsifu Yesu Kristo mkatumeni !BICHWA KOMWE - alikipata kitambulisho chake haraka bila mang'ana.
Nawaagiza mkaige mfano wa BICHWA KOMWE -
Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Monetary doctor
UKIZINGATIA MWANANCHI ANAKUWA AMEWEKA NA MAWASILIANO YAKEAcha wafute TU. Tanzania Tuna mambo ya ajabu sana. Unaeza ukakuta Kuna wapuuzi wamekaa wakaona wafute watu wajiandikishe upya ili wapige hela.
Kwa maendeleo ya sasa ivi ya teknolijia ya mawasiliano, unashindwaje kumfikia MTU kama hata alihama mkoa ili umpe kitambulisho chake.
Ukitaka kujua hao nida ni wale wale, hebu serikali itoe tenda Kwa private company ya kugawa hivyo vitambulisho uone kama miezi mitatu itafika.
Milele Aminaaa.......Tumsifu Yesu Kristo mkatumeni !
Changu nilipata mapema sana 2017 kikapotea JKT huko sitaki hata kukumbuka
Una vyo comment km sio mtu vile 😂Milele Aminaaa.......
Leo tulikuwa na misa ya shukran na misa ya kuombea mavuno, kwa kweli tumebarikiwa sana.
Hapo andaa laki ya ku renew