The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Sikiliza hii afu ndo utaelewa kwa nini hatutaki uchaguzi uchwara.
Hii waione G55 kwenye JaladaSikiliza hii afu ndo utaelewa kwa nini hatutaki uchaguzi uchwara.
View attachment 3296954
For realHii waione G55 kwenye Jalada
Umesahau kuwa na mfumo wa vyama vya kisiasa ni wa kikoloni? Au unaweza Kuthibitisha vyama vilikuwepo kabla ya mkoloni? Tatizo la nyumbu kuongea bila kufikiri ndio maana eti No Reform, No Election! Nyoo!!!RC na uDC ni vyeo vya mfumo wa Kikoloni..vifutwe na tuje na mfumo mpya kabisa..kama watarudi basi wawe wanachaguliwa na wananchi
Kwa ujinga huu nani ashiriki uchaguziUmesahau kuwa na mfumo wa vyama vya kisiasa ni wa kikoloni? Au unaweza Kuthibitisha vyama vilikuwepo kabla ya mkoloni? Tatizo la nyumbu kuongea bila kufikiri ndio maana eti No Reform, No Election! Nyoo!!!
Naona umeshashiba maharagwe ya dada/shemeji...wapi nimesema kila kitu kilicholetwa na Wakoloni ni kibaya?Umesahau kuwa na mfumo wa vyama vya kisiasa ni wa kikoloni? Au unaweza Kuthibitisha vyama vilikuwepo kabla ya mkoloni? Tatizo la nyumbu kuongea bila kufikiri ndio maana eti No Reform, No Election! Nyoo!!!
Sasa kwanini mjaze saver za hatushiriki hatushiriki! Si mkae kimya mfanye mambo yenu. Kama ni Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA TU mtake mistake!!!!Kwa ujinga huu nani ashiriki uchaguzi
View attachment 3297008
Wewe ni mjinga na mpumbavu! Kuna mahali umesema hili ni moja ya mambo ya kikoloni mabaya au uliongea kiujumla? Hapa HAKUNA NYUMBU. Hii ni JF yenye great thinkers kama Mimi.Naona umeshashiba maharagwe ya dada/shemeji...wapi nimesema kila kitu kilicholetwa na Wakoloni ni kibaya?
Remain blessed alwyas, and this the ultimate popoz pawaSikiliza hii afu ndo utaelewa kwa nini hatutaki uchaguzi uchwara.
View attachment 3296954
We will deal with This On Our Daily Basis until it is doneNo reform no election. Tunahitaji mabadiliko makubwa.
HatersRemain blessed alwyas, and this the ultimate popoz pawa
😅😅Kwa ujinga huu nani ashiriki uchaguzi
View attachment 3297008
We equally hate each otherHaters
Tulia we mtoto wa shule hujui lolote. Bado upo kwa wazazi wakoSasa kwanini mjaze saver za hatushiriki hatushiriki! Si mkae kimya mfanye mambo yenu. Kama ni Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA TU mtake mistake!!!!