Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University mwaka wa tatu na hana mkopo kama wa kwako, ahahahahaha!!!. Wa pili yupo high school Shinyanga. Wa tatu Binti yangu mzuri yupo form three Kagera. Binti yangu mzuri mwingine wa nne yupo hapa nyumbani anasoma primary. Na ukumbuke John Heche (Chuoni SAUT akiitwa Wegesa Charles) nimesoma nae 2006/2009.Tulia we mtoto wa shule hujui lolote. Bado upo kwa wazazi wako
Je, bado unahisi nakaa kwa wazazi wangu ambao wote ni marehemu na nimewazika Kiziba, Missenyi, Kagera na wakati huo Mimi nakaa jirani na Heche hapa Majengo Mapya, Mkolani, Jijini Mwanza?