Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Mtoto wangu wa kwanza yupo Ardhi University mwaka wa tatu na hana mkopo kama wa kwako, ahahahahaha!!!. Wa pili yupo high school Shinyanga. Wa tatu Binti yangu mzuri yupo form three Kagera. Binti yangu mzuri mwingine wa nne yupo hapa nyumbani anasoma primary. Na ukumbuke John Heche (Chuoni SAUT akiitwa Wegesa Charles) nimesoma nae 2006/2009.Tulia we mtoto wa shule hujui lolote. Bado upo kwa wazazi wako
We mkuki wa moto, Msamehe tu hajui kuwa hii ni zamu ya CHADEMA kuingia ikulu, na wananchi wameshasema sasa ni zamu ya Pipoz PawaTulia we mtoto wa shule hujui lolote. Bado upo kwa wazazi wako
Umeambiwa No Reforms,No Election, unaelewa maana yake dada!!??Sasa kwanini mjaze saver za hatushiriki hatushiriki! Si mkae kimya mfanye mambo yenu. Kama ni Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA TU mtake mistake!!!!
Mimi sio dada. Na kama mimi ni dada mlete mamaako twende wote kwenye vikoba. Nitamrudisha baada ya siku mbili. Nauli nitamtumia na ya kutolea! Ahahahahaha!Umeambiwa No Reforms,No Election, unaelewa maana yake dada!!??
Ana point, kuna upumbavu Mkubwa sana Nchi hii unaendelea, SITAPIGA KURA TENA, ACHA POLIS WAIBE KURA WAWAPE CCMSikiliza hii afu ndo utaelewa kwa nini hatutaki uchaguzi uchwara.
View attachment 3296954
Pls be sympathetic and considerate to Pipoz Powa freedom struggles, this time wanachukua madaraka 99.99% so far it is affirmativeSasa kwanini mjaze saver za hatushiriki hatushiriki! Si mkae kimya mfanye mambo yenu. Kama ni Uchaguzi Mkuu UTAFANYIKA TU mtake mistake!!!!
Brilliant movement, CCM ishatolewa tusubiri TAL kula kiapoNo Reform no Election
AMka okojoe dogo, baridi ni Kali na kajotojoto kazuri. Usije kujikuta ushamwagilia pasipostahili kumwagiliwa!Pls be sympathetic and considerate to Pipoz Powa freedom struggles, this time wanachukua madaraka 99.99% so far it is affirmative
ile video ya Askari Kiondo kuhusu uchaguzi iko wapi?Kwa ujinga huu nani ashiriki uchaguzi
View attachment 3297008
Utakufa na roho mbaya yako. We are fighting for our rights to democracyWe equally hate each other
Mbona naona manyani pori yanazidi kula mazao ya wakulima. Kweli mkulima kayaweza ameweka lindo kila kona kipindi hiki.Umesahau kuwa na mfumo wa vyama vya kisiasa ni wa kikoloni? Au unaweza Kuthibitisha vyama vilikuwepo kabla ya mkoloni? Tatizo la nyumbu kuongea bila kufikiri ndio maana eti No Reform, No Election! Nyoo!!!
which rights?, na Democracy gani kwa CDM?? mbona ndani kwenu mna changamoto ya democracy, iko in shambles, mend your internal party democracyUtakufa na roho mbaya yako. We are fighting for our rights to democracy
Hakuna nyumbu isipo kuwa wewe na genge lakoWewe ni mjinga na mpumbavu! Kuna mahali umesema hili ni moja ya mambo ya kikoloni mabaya au uliongea kiujumla? Hapa HAKUNA NYUMBU. Hii ni JF yenye great thinkers kama Mimi.
kukataa stupidity ni roho mbaya?Utakufa na roho mbaya yako. We are fighting for our rights to democracy
Mfumo wa majimbo ulipendekezwa before but wakaupiga chini. Ila utasaidia sanaRC na uDC ni vyeo vya mfumo wa Kikoloni..vifutwe na tuje na mfumo mpya kabisa..kama watarudi basi wawe wanachaguliwa na wananchi
CCM must goBrilliant movement, CCM ishatolewa tusubiri TAL kula kiapo
HE, President, Tundu Antipas Lissu, the 7th President of the URT?CCM must go
Mark my words! Hakuna mtu Tanzania hii atazuia Uchaguzi Mkuu mwaka huu usifanyike, labda extreme natural hazard!Mbona naona manyani pori yanazidi kula mazao ya wakulima. Kweli mkulima kayaweza ameweka lindo kila kona kipindi hiki.
No Reforms No Election. Karibu katiba mpya.