Haya ndiyo Maoni ya gazeti la Rai

Haya ndiyo Maoni ya gazeti la Rai

Alikuwa ameyanunua magazeti siku nyingi sana kwa kuwalipa pembeni pembeni, ikawa mtandao mtandao, mwisho akaamua kuyanunua kabisa,

Halafu recently, alianzisha mchezo gazeti likiwa na habari nzito za ukweli on ufisadi, anayanunua yote usiku, kwa hiyo kesho yake yanakuwa hayapo kwenye market, sasa naona ameona analiwa hela tu, kwa hiyo ameamua kujificha nyuma ya RAI what a shame!
 
Duh! hii ni tahariri au ni makala ndani ya gazeti la Rai? Kama ni tahariri, basi safari bado ni ndefu kweli kweli. Ingawa habari Corp. ilinunuliwa na Rostam, hivi hakuna mianya ya kisheria ya kumlazimisha mmiliki mpya wa Habari Corp. (Rostam), abadili jina la gazeti la Rai? Pamoja na ukweli kuwa waasisi wa gazeti la Rai wanamiliki gazeti lingine, lakini jina la Rai lilijengwa kwa heshima na taadhima itokanayo na nguvu ya hoja.

Ni kweli, kila kitu kina mwanzo na mwisho wake. Hata mpanda ngazi hushuka. Hata dola ya Warumi ilianguka puh kama embe kutoka mtini. Hata uwe mtu maarufu kiasi gani, kifo kinakungoja, kwa sababu ni mipango ya Mungu. Jamani, lakini Rai haikujengwa hovyo hovyo, bali ilijengwa kwa heshima. Ingekuwa vizuri ikazikwa kwa heshima, hata kama kifo chake kilikuwa hakihepukiki.

Kifo ni kifo. Mwalimu Nyerere alikufa akazikwa kwa heshima zote kwa sababu ya jinsi alivyoishi na kuendesha maisha yake. Mobutu Seseseko alikufa kifo kitokanacho na ugonjwa wa kibinadamu kama alivyokufa Nyerere, lakini alizikwa kwa aibu, kwa sababu ya jinsi alivyoishi maisha yake. Nasema alizikwa kwa aibu kwa sababu hata mamilioni ya watu aliowaongoza kwa miaka yote hawakuona jeneza lake. Na wala hakuzikwa kwenye ardhi ya nchi aliyoiongoza kwa miaka nenda rudi.

Inajulikana wazi kuwa gazeti la Rai limekwisha kufa, lakini sikubaliani na jinsi linavyozikwa. Binafsi ningependelea kuona huyu marehemu wetu Rai anazikwa kwa heshima. Hii ni aibu kupita hata jinsi walivyozikwa watu wa Sodoma na Gomoro. Adam Lusekelo ni mwandishi wa habari aliyebobea. Nadhani makala yake iliyoandikwa kabla ya haya maoni, inaweza kutoa mwanga wa nini kinaendelea kwenye vyombo vingi vya habari.

Nimeiambatanisha chini:

Yesterday I went to my favourite watering hole and started dreaming - what will I do with a million bucks (1.2 billion Tshillings) after I have successfully stolen from the people of Tanzania? I will first start by buying a shangingi. It will be custom made, with a bedroom which vibrates, bar and things. Naturally it will have air-conditioning
automatic deodorants which emit scents after reading my mood.

Like any normal man, with all that offshore dosh at my disposal I will get myself an offshore chick or two, or three. Or even four! I will also get a year's supply of "Viagra" or "Cialis" to rev up my system up. What's wrong with four offshore chicks eating from my hands. I will buy all of them a Rav-4, or a Merc each or even a shangingi if they demand one.

If one of my concubines dares as gets a pimple on the nose, I will insist that she sees a acne expert in London, Paris or New York. Tanzanian doctors don't have the expertise to pinch pimples because these are not normal pimples they are offshore pimples!

I will have a public relations office to buy some trash calling themselves "journalists". They go for a song and their job will be to make me look great in some trashy papers. Thankfully as a Tanzanian politician I will know that and take appropriate measures.

It's a year and a half before the farce we call elections starts. So I will have my media goons on the ready. I will even approach some musicians who will bay out and extol, not my thieves skills, but my virtues of goodness. Needless to say that I will be buddies with the inspector- general of police and director of the Anti-Corruption squad. Very useful guys to know, if you get my drift. My financial sums could go a bit
awry and so I will need have some back up to boost my offshore accounts.


I could start a project to call investors to start making a rain making project. The idea is that the rain should fall into the Mtera dam - spot on. Everyday. Naturally I will have the majority shares in this enterprise. Then I could go to Rome to say "hi"
to the Pope. One needs to thank the Almighty for a good fortune. Some malicious people call it stealing, while I call it being clever with a pen. Wivu tu!


A loud bang and I was woken up from my dream. The waiter wanted his money. I rummaged through my pockets and realised that I had left my "fortune" at home. I
lied to the bar owner that I will pay the next day. I have not been seen in that part of Dar for a week!

Mbwene2@yahoo.com

Source: Daily News
 
Back
Top Bottom