Kumbe Yesu aliumba mwenyewe vilivyomo ulimwenguni, bila shaka ya ulimwengu wenyewe.........YESU aliweza kushinda nguvu za mauti kuzimu, atashindwa nini haswa kwa viumbe aliyeviumba ye mwenyewe [emoji848]
Kama ni akili zako za kuzaliwa basi naomba muswada wa uhalali wa kuvuta bangi urudiwe upya kusomwa ili kuuelewa vizuri [emoji87]
Ikiwa mi ni mwongo, liitie jina la YESU ukitembelewa na majini, mapepo, mizimu, wachawi, wanga, washirikina, walonzi, waganga wa kienyeji (mawakala wa shetani) uone jinsi yanavyokimbia....[emoji123][emoji847]
Naunfana na mtoa post #2, mada hii ngumu sana kuweza kueleweka na mtu kama mimi......nijikalie pembeni niwapishe wajuzi