The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Nyakat za revolution zikifika no way out! Maana hata CCM hawawez ongoza milele, hivyo basi Revolution by any means lazima itakuja huko mbeleniKatika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI ππ»ππ»ππ»
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee β hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji β ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
β Siasa ni mjadala β siyo vita!
β Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Si lazima Iwe ya kijeshi.Nyakat za revolution zikifika no way out! Maana hata CCM hawawez ongoza milele, hivyo basi Revolution by any means lazima itakuja huko mbeleni
Huyo chatgtp(mwenye page) muulize pia na faida sio hasara peke yake ili tulinganishe kwa pande zote mbiliKatika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI ππ»ππ»ππ»
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee β hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji β ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
β Siasa ni mjadala β siyo vita!
β Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Bora mara 100 kuliko huu upuuzi unaoendelea ssKatika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI ππ»ππ»ππ»
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee β hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji β ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
β Siasa ni mjadala β siyo vita!
β Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Aah wapi kuliko huu ujinga wa kikundi kidogo kuwapangia mpk pumziUtawala wa Kijeshi ni Mbaya zaidi ni raisi kupata vikosi vitakavyo ASI kutokana na Uroho wa madaraka
πππIla jeshi likichukua alafu likaruhusu Mgombea binafsi likatoa kiongozi wao mzalendo anagombea wakaruhusu vyama vyote wao akagombea binafsi anashinda mapema sanaSijaona baya lolote hapo
Mbona faida hajaandika ili tulinganishe?Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI ππ»ππ»ππ»
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee β hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji β ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
β Siasa ni mjadala β siyo vita!
β Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Wao si wanawaza kujilimbikizia mali tu basi hapo wanaonq duh itakuaje ssHahaha ila CCM kwa kupanic hamjambo. Bora tu iwe hivyo kama itatokea..
Ipuuze ,hakuna ujinga kama huo .Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI ππ»ππ»ππ»
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee β hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji β ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
β Siasa ni mjadala β siyo vita!
β Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Hakuna hiyo kitu ,wacha kutisha watu .Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari
"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"
HOJA ZAO NI HIZI ππ»ππ»ππ»
Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*
1. Katiba Inasimamishwa
- Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
- Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
- Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.
3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".
4. Uhuru wa Habari Unapotea
- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
- Habari zote hutolewa na Jeshi pekee β hakuna uhuru wa kujieleza.
5. Kamatakamata Bila Sababu
- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji β ukijaribu, unatafutwa.
6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.
7. Uchumi Unayumba
- Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
- Bei hupanda.
- Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
- Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.
TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
β Siasa ni mjadala β siyo vita!
β Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!
===============================================
Wewe mdau unasemaje?
Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?
Toa maoni..
Wanajaribu tengeza fear kwa wananchi. Case ya Tanzania haiwezi kuwa na hayo matokeo. anyway, anaotowesha haki ya maisha ya watu na kuogopeka soon damu yake italmbwa na inzi πBora mara 100 kuliko huu upuuzi unaoendelea ss