Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

Wanajaribu tengeza fear kwa wananchi. Case ya Tanzania haiwezi kuwa na hayo matokeo. anyway, anaotowesha haki ya maisha ya watu na kuogopeka soon damu yake italmbwa na inzi 😎
Exactly 💯
Najua hawaelewi kuwa nyakati ni mwamuzi wa mwisho
Na hawaamini kuwa yanayoenda kutokea wataishi km digidigi
 
Upuuzi mtupu

Democracy kupotea kwani sasa ndio bado ipo?

Burkina Faso wao wana utawala wa kijeshi mbona wanazidi kupiga hatua mbele kuliko sisi ambao tumejaza wezi tu?

Kwanza utawala wa kijeshi una faida kubwa sababu
Mambo ya uchaguzi na upuuzi mwengine kama huo wa wabunge kulipwa maposho kwenye mavikao ya bunge unakuwa haupo! Pesa zinapelekwq kwenye mambo mengine muhimu ya kijamii kwa wananchi..

Hizi hoja zenu tupu bila vitendo ndio zimefanya tumefikia hapa porojo bila vitendo
Hsswaaa
Pesa zinaingia kwenye Maendeleo
Wanajaribu kutisha watz
 
Kwa wasiyojua MCHAKATO WA JESHI KUPOKA MAMLAKA KWA WANASIASA HUWA NI JAMBO LENYE MCHAKATO MREFU NA WENYE TARATIBU NGUMU .

Of course kunamadhara kiuchumi na kimahusiano kimataifa (siunajua tena mahusiano mengi yakimataifa huwa niyaki biashara) so zile deal nyingi zitasimama hilo halina ubishi .lakini zaidi ya 95% ya yaliyoorodheshwa hapa hayamo
 
Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari

"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"

HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻​

Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*

1. Katiba Inasimamishwa
  • Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
  • Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.

2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
  • Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
  • Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.

3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".

4. Uhuru wa Habari Unapotea
  • Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
  • Habari zote hutolewa na Jeshi pekee – hakuna uhuru wa kujieleza.

5. Kamatakamata Bila Sababu
  • Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
  • Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.

6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
  • Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
  • Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.

7. Uchumi Unayumba
  • Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
  • Bei hupanda.
  • Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.

8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
  • Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
  • Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
  • Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.

TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.

√ Siasa ni mjadala – siyo vita!
√ Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!

===============================================

Wewe mdau unasemaje?

Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?

Toa maoni..
Hata kama ungesema Kila wiki watachinjwa watu Saba hadharani ni heri kuliko mtu kupotea hujui kama ameshakufa au yupo .

Jeshi likiweza kutawala Wacha litawale tu maana Wana ccm Nchi tumewapa Kwa miaka zaidi ya60 lkn Bado mnapita kituahidi mtaweka uzio wa kuzuia mamba mara mtachanja kuku

Hadi Leo mmeshindwa kufikisha maji Kwa wananchi seriously?
 
Katika pitapita yangu huko kwenye social medias, ghafla nikajikuta Facebook ktk moja ya page ya wadau wanaojiita "TUJIFUNJE BIBLIA MADHEHEBU YOTE" na kukiwa na article hii yenye kichwa cha habari

"MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI"

HOJA ZAO NI HIZI 👇🏻👇🏻👇🏻​

Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:*

1. Katiba Inasimamishwa
  • Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
  • Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.

2. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa
  • Hakuna tena upinzani wala wabunge wa kuwawakilisha.
  • Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.

3. Uchaguzi Unasitishwa
- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".

4. Uhuru wa Habari Unapotea
  • Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa
  • Habari zote hutolewa na Jeshi pekee – hakuna uhuru wa kujieleza.

5. Kamatakamata Bila Sababu
  • Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
  • Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.

6. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza
  • Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
  • Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.

7. Uchumi Unayumba
  • Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
  • Bei hupanda.
  • Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.

8. Udhibiti Mkubwa wa Digitali
  • Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
  • Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi
  • Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa kufuatilia mawasiliano ya raia.

TAFAKARI: Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.

√ Siasa ni mjadala – siyo vita!
√ Badilishaneni hoja, siyo mapinduzi!

===============================================

Wewe mdau unasemaje?

Heri kutawaliwa na dikteta halafu mkawa mnatekwa, kupotezwa na kuuwawa au Jeshi ambalo litawanyima uhuru fulani fulani kwa muda mrefu lakini mkawa salama....?

Toa maoni..

Maisha ambayo tuko naye sasa ni heri ya kuwa na hilo jeshi,
Kuliko utawala huu wa Kikwete,
Ni heri utawala wa wanasiasa kuwekwa benchi kwa muda
 
Kama hizo ndo hasara basi jeshi litatufaa sana kuongoza nchi.
 
Hakuna mbaya hapo, tena katiba ikisimamishwa inakua lahisi sana kulipa kisasi kwa mtu flani mvaa majani.
 
➡️MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA NCHI KUONGOZWA NA JESHI.

➡️WATAFAKARI KABLA HAMJASUKUMA NCHI KWENYE MACHAFUKO!!

➡️ Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya watu wanavyotamani), haya ndiyo yatakayowakuta raia:
---

1️⃣. Katiba Inasimamishwa.
  • Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
  • Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za kijeshi tu.
2️⃣. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa.
  • Hakuna tena upinzani, wala wabunge wa kuwawakilisha.
  • Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara moja.

3️⃣. Uchaguzi Unasitishwa.

- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".

4️⃣. Uhuru wa Habari Unapotea
  • Mitandao ya kijamii kama WhatsApp, Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na Telegram hufungwa.
  • Habari zote hutolewa na jeshi pekee – hakuna uhuru wa kujieleza.

5️⃣. Kamatakamata Bila Sababu
  • Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa au kutoweka.
  • Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.

6️⃣. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza.
  • Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye mahakama za kijeshi bila wakili.
  • Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.

7️⃣. Uchumi Unayumba.
  • Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
  • Bei hupanda.
  • Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko mnavyofikiria sasa.
8️⃣. Udhibiti Mkubwa wa Digitali.
-Mitandao hufungwa muda wowote bila taarifa.
  • Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa na serikali ya kijeshi.
  • Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa kabisa, kufuatilia mawasiliano ya raia.

---
🛑 TAFAKARI:
Jeshi siyo suluhisho la matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan, Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka kama wao.
 
 
Lipi baya kati ya utawala wa kijeshi au utawala wa kuibiwa na kuuliwa huku haki ikibagazwa na kikundi cha watu wachache kilichojimilikisha kila aina ya resources wakigawana wao na famili zao huku zingine wakigawa kwa wazungu/waarabu kwa kigezo cha investment.

Lipi bora kuongozwa na wanajeshi au kundi ambalo linakusanya mabilioni ya kodi kutoka kwa masikini huku wakizitumia wao na familia zao, hawatosheki wanaweka na marufuku ya kuhoji wala kuuliza matendo ya serikali bali kuwaabudu na kuwasifia lipi bora?.

Ni bora kuongozwa na jeshi ambalo ndilo lenye majukumu ya kuandaa utawala mzuri kwa raia baada ya kuuondoa utawala wa shetani(CCM) na magenge yao ya uovu hilo ndio jukumu la jeshi, lakini maajabu jeshi la JWTZ limegeuzwa kikundi B cha MAFISADI wanaoshirikiana na shetani CCM leaders kuiharibu ndoto ya waTanzania kupata uongozi wa kweli wa kizalendo.

Mnaohamasisha amani sijui na upuuzi wa kuwatishia wananchi kuogopa kuiondoa hii serikali huwa mnaishi nchi ipi wenzetu msiozijua shida?, au ninyi ni sehemu ya wafaidikaji wa huu utawala wa samia na magenge yake?, ni bora kuanza upya kwa kuiokoa nchi kutoka kwa hawa MAFISADI kabla hawajatumaliza kabisa.

Hakuna amani bila Haki
 
➡️MADHARA YA KUPINDUA SERIKALI NA
NCHI KUONGOZWA NA JESHI.

➡️WATAFAKARI KABLA HAMJASUKUMA NCHI
KWENYE MACHAFUKO!!

➡️ Kama serikali ya kiraia itapinduliwa na
Jeshi likachukua uongozi (kama baadhi ya
watu wanavyotamani), haya ndiyo
yatakayowakuta raia:

---

1️⃣. Katiba Inasimamishwa.

  • Hakuna tena uhuru wa kikatiba.
  • Sheria zote mpya zitatolewa kwa amri za
kijeshi tu.

2️⃣. Bunge na Vyama vya Siasa Vinavunjwa.

- Hakuna tena upinzani, wala wabunge wa
kuwawakilisha.
- Vyama vya siasa hupigwa marufuku mara
moja.

3️⃣. Uchaguzi Unasitishwa.

- Wananchi hawatopiga kura tena kwa miaka
mingi hadi jeshi lieleze "hali imetulia".

4️⃣. Uhuru wa Habari Unapotea

- Mitandao ya kijamii kama WhatsApp,
Facebook, X (Twitter), YouTube, TikTok na
Telegram hufungwa.

- Habari zote hutolewa na jeshi pekee –
hakuna uhuru wa kujieleza.

5️⃣. Kamatakamata Bila Sababu

- Raia wanaweza kufungwa bila kesi, kuteswa
au kutoweka.
- Hakuna haki ya kuhoji – ukijaribu, unatafutwa.

6️⃣. Mahakama za Kijeshi Zinaongoza.

- Hata raia wa kawaida hushitakiwa kwenye
mahakama za kijeshi bila wakili.
- Haki inakuwa ya upendeleo, siyo ya sheria.

7️⃣. Uchumi Unayumba.

  • Wawekezaji hukimbia.- Ajira hupotea.
  • Bei hupanda.
  • Hali ya maisha kuwa mbaya kuliko
mnavyofikiria sasa.

8️⃣. Udhibiti Mkubwa wa Digitali.
-Mitandao hufungwa muda wowote bila
taarifa.

- Kila unachoandika au kuposti kinadhibitiwa
na serikali ya kijeshi.
- Intaneti hupunguzwa kasi au kuzimwa
kabisa, kufuatilia mawasiliano ya raia.

---

🛑 TAFAKARI:
Jeshi siyo suluhisho la
matatizo ya kisiasa. Waliopitia hayo (Sudan,
Guinea, Myanmar) wanajuta. Hatutaki kugeuka
kama wao.
Poa tu. Tuanza upya maana muelekeo haueleweki
 
Bora jeshi lichukue nchi, ila siyo Wahuni aisee. Wahuni hawana maana hata kidogo. Wanajilimbikizia mali wao tu kupitia majasho yetu. Hili halikibaliki hata kidogo. Jwtz msituangushe tafadhali. Hatuwataki hawa wahuni.
 
Back
Top Bottom