Hizi ndio sababu za msingi kwanini ni sahihi JWTZ kuendesha nchi kwa sasa

Lord Denning

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
23,491
Reaction score
57,973
1. Ni jukumu la kwanza la JWTZ kuilinda Katiba na Serikali ya Samia na CCM wameivunja Katiba kwa kiwango cha kutisha sana. Kwenye hili Katiba inaweka jukumu la msingi kwa Serikali kulinda uhai na ustawi wa Wananchi na Serikali ya Samia na CCM wamekuwa wakiwateka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wanaowakosoa.

2. Ni jukumu la JWTZ kulinda Katiba inayotamka Tanzania kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi na Serikali ya Samia kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa na Mahakama wamewafungia Chadema kufanya shughuli za kisiasa huku ikikamata kuteka na kupoteza Wafuasi wa Chama hicho.

3. Ni jukumu la JWTZ kulinda Uhuru wa Watanzania kupitia Katiba yao ila Serikali ya Samia na CCM wanawanyanyasa Watanzania wasiounga mkono mawazo yao kwa kuwazuia kufanya shughuli za kiuchumi, kuwafungulia kesi za kutunga Mahakamani kupitia Ofisi ya DPP.

4. Serikali ya CCM na Samia imekuwa Serikali ya kifisadi kiwango cha kutisha. Viongozi wa juu ikiwemo familia zao wanajihusisha na Ufisadi wa kutisha wa fedha za Umma huku Watanzania wengi masikini wakikosa huduma za msingi kama miunfombinu bora, maji safi na salama, madawa hospitali, bima ya afya na nyinginezo

5. Serikali ya Chama cha Mapinduzi na Samia imeharibu mifumo yote ya accoutability pamoja na checks and balances. Hakuna kinachofanya kazi na kutekeleza majukumu yake vizuri. Si Mahakama, si TISS, si Bunge, si Polisi, si TAKUKURU si Ofisi ya Mashtaka si Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Taasisi hizi zote zilizopaswa kuwa mifumo imara ya kulisimamia Taifa zimeshakuwa compromised na siasa hasa Chama cha Mapinduzi. Hazitekelezi majukumu yake kwa weredi na kuzingatia utaalam bali matakwa ya kisiasa na Wanasiasa hasa CCM.

6. CCM imejimilikisha kila kitu kwenye nchi hii na kuzifanya Taasisi zote binafsi na za Umma kukiabudu Chama cha Mapinduzi. Sekta ya Habari haiko huru, sekta ya burudani haiko huru, sekta ya biashara haiko huru. Hizi ni sekta zinazopaswa kujiendesha kwa uhuru mkubwa ili kuchangia kwa kiwango kikubwa ustawi wa wananchi na maendeleo. CCM kwa sasa wana amua chombo gani cha habari kifanye kazi, kifanyeje kazi, na kiwape wananchi habari gani. CCM ina amua mfanyabiashara yupi afanye biashara kwa terms zipi? Hili limefanya Taifa kuzalisha ajira ya kipuuzi ya watu wanaoitwa machawa ambao kazi yao ni kusifu na kuabudu mambo ya kipumbavu na kijinga ya Viongozi na watu wenye pesa huku wakikebehi shida za Wananchi.

7. Jumuiya ya Kimataifa hasa Washirika wetu wa Maendeleo wameionya sana Serikali ya CCM na Samia kuhusu ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu na kuendesha uchaguzi wa kiini macho kwa kuwalaghai wananchi. Hili linafanya Taifa kuwa kwenye wakati mgumu na kuweza kuingia kwenye machafuko makubwa huko mbeleni kwa sababu masuala yanayolalamikiwa yanaweza kupelekea tukatengwa kimataifa na kusababisha hali ngumu ya kiuchumi na kimaisha lwa Wananchi wetu ambao tayari sasa wanaathiriwa kwa kiasi kikubwa na Ufisadi wa Serikali ya Samia na CCM.

8. CCM imeharibu mfumo wote wa kisiasa nchini kwa kuweka vyama vya siasa vua upinzani mapandikizi ambavyo kiuhalisia havisimamii maslahi mapana ya Wananchi zaidi ya kutumika kama sehemu ya kuwalaghai Wananchi kwa faida za CCM.

Kwenye hili hata ikisemwa tufanye uchaguzi mwingine sasa mfumo huu wa CCM ambao umeshakuwa kansa katika Taifa hili utaendelea kuliangamiza Taifa. Suluhisho pekee kwenye hili ni Jeshi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito kisichozidi miaka 5 na kuhakikisha Taifa letu linapata

a) Katiba Mpya iliyo bora

b) Kuundwa upya kwa Taasisi za Mahakama, Takukuru, Polisi, TISS, Ofisi ya DPP, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora pamoja na Ofisi ya CAG

Mungu wabariki JWTZ.
 
1. Ni jukumu la kwanza la JWTZ kuilinda Katiba na Serikali ya Samia na CCM wameivunja Katiba kwa kiwango cha kutisha sana. Kwenye hili Katiba inaweka jukumu la msingi kwa Serikali kulinda uhai na ustawi wa Wananchi na Serikali ya Samia na CCM wamekuwa wakiwateka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wanaowakosoa.

2. Ni jukumu la JWTZ kulinda Katiba inayotamka Tanzania kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi na Serikali ya Samia kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa na Mahakama wamewafungia Chadema kufanya shughuli za kisiasa huku ikikamata kuteka na kupoteza Wafuasi wa Chama hicho.

3. Ni jukumu la JWTZ kulinda Uhuru wa Watanzania kupitia Katiba yao ila Serikali ya Samia na CCM wanawanyanyasa Watanzania wasiounga mkono mawazo yao kwa kuwazuia kufanya shughuli za kiuchumi, kuwafungulia kesi za kutunga Mahakamani kupitia Ofisi ya DPP.

4. Serikali ya CCM na Samia imekuwa Serikali ya kifisadi kiwango cha kutisha. Viongozi wa juu ikiwemo familia zao wanajihusisha na Ufisadi wa kutisha wa fedha za Umma huku Watanzania wengi masikini wakikosa huduma za msingi kama miunfombinu bora, madawa hospitali, bima ya afya na nyinginezo

5. Serikali ya Chama cha Mapinduzi na Samia imeharibu mifumo yote ya accoutability pamoja na checks and balances. Hakuna kinachofanya kazi na kutekeleza majukumu yake vizuri. Si Mahakama, si TISS, si Bunge, si Polisi, si TAKUKURU si Ofisi ya Mashtaka si Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Taasisi hizi zote zilizopaswa kuwa mifumo imara ya kulisimamia Taifa zimeshakuwa compromised na siasa hasa Chama cha Mapinduzi. Hazitekelezi majukumu yake kwa weredi na kuzingatia utaalam bali matakwa ya kisiasa na Wanasiasa hasa CCM.

6. CCM imejimilikisha kila kitu kwenye nchi hii na kuzifanya Taasisi zote binafsi na za Umma kukiabudu Chama cha Mapinduzi. Sekta ya Habari haiko huru, sekta ya burudani haiko huru, sekta ya biashara haiko huru. Hizi ni sekta zinazopaswa kujiendesha kwa uhuru mkubwa ili kuchangia kwa kiwango kikubwa ustawi wa wananchi na maendeleo. CCM kwa sasa wana amua chombo gani cha habari kifanye kazi, kifanyeje kazi, na kiwape wananchi habari gani. CCM ina amua mfanyabiashara yupi afanye biashara kwa terms zipi? Hili limefanya Taifa kuzalisha ajira ya kipuuzi ya watu wanaoitwa machawa ambao kazi yao ni kusifu na kuabudu mambo ya kipumbavu na kijinga ya Viongozi na watu wenye pesa huku wakikebehi shida za Wananchi.

7. Jumuiya ya kKimataifa hasa Washirika wetu wa Maendeleo wameionya sana Serikali ya CCM na Samia kuhusu ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu na kuendesha uchaguzi wa kiini macho kwa kuwalaghai wananchi. Hili linafanya Taifa kuwa kwenye wakati mgumu na kuweza kuingia kwenye machafuko makubwa huko mbeleni kwa sababu masuala yanayolalamikiwa yanaweza kupelekea tukatengwa kimataifa na kusababisha hali ngumu ya kiuchumi na kimaisha lwa Wananchi wetu ambao tayari sasa wanaathiriwa kwa kiasi kikubwa na Ufisadi wa Serikali ya Samia na CCM.

Je! wale top officials wa geshi no. 6 kwa ubora duniani sio machawa wa ccm?
 
Sijui kama leo utapumzika, kila dakika ni kuanzisha uzi
 
Mimba changa na pesa za Taasisi ya George Soros vinamsumbua.Asipofanya kazi ya uchochezi atakula wapi na hana namna nyingine?
 
Naona mav** yanagonga chupi. Jiandaeni tu kuwa jela na ufisadi wenu.

Mlidhani Watanzania tutaendelea kuwa wajinga siku zote huku mkijinufaisha kwa fedha zetu eeeh?
 
1 , 2 , 3

Ni jukumu la Watanzania Wote wanao ipenda hii NCHI.

Tuache kutafuta Mbuzi wa Kafara, Au nani wa kumfunga paka kengele.

October ni Mambo mawili tu Kutiki au Kutoka.
 
Tutapumzika mbinguni. Ukombozi wa kweli wa Tanzania hii ni sasa.
Tui unaona majibu yake
Mimba changa na pesa za Taasisi ya George Soros vinamsumbua.Asipofanya kazi ya uchochezi atakula wapi na hana namna nyingine?
Kumbe! Nashanga kila wakati ni negative na argument za kitoto. Zaidi ukimweleza Lord Denning ukweli, anatukana mimatusi. Sasa nimejua
 
  • Thanks
Reactions: Tui
1. Ni jukumu la kwanza la JWTZ kuilinda Katiba na Serikali ya Samia na CCM wameivunja Katiba kwa kiwango cha kutisha sana. Kwenye hili Katiba inaweka jukumu la msingi kwa Serikali kulinda uhai na ustawi wa Wananchi na Serikali ya Samia na CCM wamekuwa wakiwateka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wanaowakosoa.

2. Ni jukumu la JWTZ kulinda Katiba inayotamka Tanzania kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi na Serikali ya Samia kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa na Mahakama wamewafungia Chadema kufanya shughuli za kisiasa huku ikikamata kuteka na kupoteza Wafuasi wa Chama hicho.

3. Ni jukumu la JWTZ kulinda Uhuru wa Watanzania kupitia Katiba yao ila Serikali ya Samia na CCM wanawanyanyasa Watanzania wasiounga mkono mawazo yao kwa kuwazuia kufanya shughuli za kiuchumi, kuwafungulia kesi za kutunga Mahakamani kupitia Ofisi ya DPP.

4. Serikali ya CCM na Samia imekuwa Serikali ya kifisadi kiwango cha kutisha. Viongozi wa juu ikiwemo familia zao wanajihusisha na Ufisadi wa kutisha wa fedha za Umma huku Watanzania wengi masikini wakikosa huduma za msingi kama miunfombinu bora, madawa hospitali, bima ya afya na nyinginezo

5. Serikali ya Chama cha Mapinduzi na Samia imeharibu mifumo yote ya accoutability pamoja na checks and balances. Hakuna kinachofanya kazi na kutekeleza majukumu yake vizuri. Si Mahakama, si TISS, si Bunge, si Polisi, si TAKUKURU si Ofisi ya Mashtaka si Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Taasisi hizi zote zilizopaswa kuwa mifumo imara ya kulisimamia Taifa zimeshakuwa compromised na siasa hasa Chama cha Mapinduzi. Hazitekelezi majukumu yake kwa weredi na kuzingatia utaalam bali matakwa ya kisiasa na Wanasiasa hasa CCM.

6. CCM imejimilikisha kila kitu kwenye nchi hii na kuzifanya Taasisi zote binafsi na za Umma kukiabudu Chama cha Mapinduzi. Sekta ya Habari haiko huru, sekta ya burudani haiko huru, sekta ya biashara haiko huru. Hizi ni sekta zinazopaswa kujiendesha kwa uhuru mkubwa ili kuchangia kwa kiwango kikubwa ustawi wa wananchi na maendeleo. CCM kwa sasa wana amua chombo gani cha habari kifanye kazi, kifanyeje kazi, na kiwape wananchi habari gani. CCM ina amua mfanyabiashara yupi afanye biashara kwa terms zipi? Hili limefanya Taifa kuzalisha ajira ya kipuuzi ya watu wanaoitwa machawa ambao kazi yao ni kusifu na kuabudu mambo ya kipumbavu na kijinga ya Viongozi na watu wenye pesa huku wakikebehi shida za Wananchi.

7. Jumuiya ya kKimataifa hasa Washirika wetu wa Maendeleo wameionya sana Serikali ya CCM na Samia kuhusu ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu na kuendesha uchaguzi wa kiini macho kwa kuwalaghai wananchi. Hili linafanya Taifa kuwa kwenye wakati mgumu na kuweza kuingia kwenye machafuko makubwa huko mbeleni kwa sababu masuala yanayolalamikiwa yanaweza kupelekea tukatengwa kimataifa na kusababisha hali ngumu ya kiuchumi na kimaisha lwa Wananchi wetu ambao tayari sasa wanaathiriwa kwa kiasi kikubwa na Ufisadi wa Serikali ya Samia na CCM.

8. CCM imeharibu mfumo wote wa kisiasa nchini kwa kuweka vyama vya siasa vua upinzani mapandikizi ambavyo kiuhalisia havisimamii maslahi mapana ya Wananchi zaidi ya kutumika kama sehemu ya kuwalaghai Wananchi kwa faida za CCM.

Kwenye hili hata ikisemwa tufanye uchaguzi mwingine sasa mfumo huu wa CCM ambao umeshakuwa kansa katika Taifa hili utaendelea kuliangamiza Taifa. Suluhisho pekee kwenye hili ni Jeshi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito kisichozidi miaka 5 na kuhakikisha Taifa letu linapata

a) Katiba Mpya iliyo bora

b) Kuundwa upya kwa Taasisi za Mahakama, Takukuru, Polisi, TISS, Ofisi ya DPP, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora pamoja na Ofisi ya CAG

Mungu wabariki JWTZ.
CCM mtandao imefikia mwisho
 
Tui unaona majibu yake

Kumbe! Nashanga kila wakati ni negative na argument za kitoto. Zaidi ukimweleza Lord Denning ukweli, anatukana mimatusi. Sasa nimejua
Siwashangai maana nishawai itwa Tundu Lissu, January Makamba na majina mengine mengi sana
 
Haijalishi, kikubwa ni jeshi lishike nchi...machawa mtafute kazi ingine ya kufanya!.
Shida ya machawa wana akili za panzi. Wana angalia leo hawatizami kesho ya Taifa na vizazi vinavyokuja.
 
Kama mlimtusi JPM, sioni nani wa kuitawala Tanzania bila lawama
Wapi duniani kuna watu wanatawala bila lawama?

Tangu lini lawama zikawa kosa la jinai au kuua na kupoteza mtu?
 
Kama mlimtusi JPM, sioni nani wa kuitawala Tanzania bila lawama
Kwanini wasimtusi? Magufuli ndo alipalilia haya mambo yanayoendelea leo ya utekaji. Kwanini wasimtusi?

By the way, huyo Magufuli akiwa Waziri hakuwa akipewa changamoto na wapinzani ukilinganisha na Mawaziri wengine, ila asivyo na akili alivyoukwaa Urais akaanza kudeal na wapinzani.

Jambo jingine linaloonyesha hakuwa na akili sawa sawa (kwenye mambo ya siasa): Aliwahi kutamka mwenyewe kuwa aliambiwa "wabaya wako hawako kule upinzani, wako humo humo ndani ya CCM" ila yeye akaendelea kudeal na wapinzani. At the end ni akina nani waliommaliza; Chadema au CCM?

Muwe na akili wajinga nyie!
 
Back
Top Bottom