Hizi ndio sababu za msingi kwanini ni sahihi JWTZ kuendesha nchi kwa sasa

Hizi ndio sababu za msingi kwanini ni sahihi JWTZ kuendesha nchi kwa sasa

Kwanini wasimtusi? Magufuli ndo alipalilia haya mambo yanayoendelea leo ya utekaji. Kwanini wasimtusi?

By the way, huyo Magufuli akiwa Waziri hakuwa akipewa changamoto na wapinzani ukilinganisha na Mawaziri wengine, ila asivyo na akili alivyoukwaa Urais akaanza kudeal na wapinzani.

Jambo jingine linaloonyesha hakuwa na akili sawa sawa (kwenye mambo ya siasa): Aliwahi kutamka mwenyewe kuwa aliambiwa "wabaya wako hawako kule upinzani, wako humo humo ndani ya CCM" ila yeye akaendelea kudeal na wapinzani. At the end ni akina nani waliommaliza; Chadema au CCM?

Muwe na akili wajinga nyie!
Shida ya CCM ni kukosa akili.

Wao mtu akiwa kiongozi hapaswi kusemwa vibaya. Wanaona kiongozi ni kama Mungu.

Kwenye jamii zilizostaarabika zenye maendeleo ya kweli na haki kwa wananchi Viongozi ni Watumishi. Wanasemwa, wanakosolewa na wao wanawajibika kama Viongozi kwa Wananchi.

Kwa hali hii ndo mana kila siku tutazidi tu kuota kuhusu maendeleo ya kweli.
 
1. Ni jukumu la kwanza la JWTZ kuilinda Katiba na Serikali ya Samia na CCM wameivunja Katiba kwa kiwango cha kutisha sana. Kwenye hili Katiba inaweka jukumu la msingi kwa Serikali kulinda uhai na ustawi wa Wananchi na Serikali ya Samia na CCM wamekuwa wakiwateka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wanaowakosoa.

2. Ni jukumu la JWTZ kulinda Katiba inayotamka Tanzania kuwa nchi ya kidemokrasia ya vyama vingi na Serikali ya Samia kupitia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya siasa na Mahakama wamewafungia Chadema kufanya shughuli za kisiasa huku ikikamata kuteka na kupoteza Wafuasi wa Chama hicho.

3. Ni jukumu la JWTZ kulinda Uhuru wa Watanzania kupitia Katiba yao ila Serikali ya Samia na CCM wanawanyanyasa Watanzania wasiounga mkono mawazo yao kwa kuwazuia kufanya shughuli za kiuchumi, kuwafungulia kesi za kutunga Mahakamani kupitia Ofisi ya DPP.

4. Serikali ya CCM na Samia imekuwa Serikali ya kifisadi kiwango cha kutisha. Viongozi wa juu ikiwemo familia zao wanajihusisha na Ufisadi wa kutisha wa fedha za Umma huku Watanzania wengi masikini wakikosa huduma za msingi kama miunfombinu bora, madawa hospitali, bima ya afya na nyinginezo

5. Serikali ya Chama cha Mapinduzi na Samia imeharibu mifumo yote ya accoutability pamoja na checks and balances. Hakuna kinachofanya kazi na kutekeleza majukumu yake vizuri. Si Mahakama, si TISS, si Bunge, si Polisi, si TAKUKURU si Ofisi ya Mashtaka si Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora. Taasisi hizi zote zilizopaswa kuwa mifumo imara ya kulisimamia Taifa zimeshakuwa compromised na siasa hasa Chama cha Mapinduzi. Hazitekelezi majukumu yake kwa weredi na kuzingatia utaalam bali matakwa ya kisiasa na Wanasiasa hasa CCM.

6. CCM imejimilikisha kila kitu kwenye nchi hii na kuzifanya Taasisi zote binafsi na za Umma kukiabudu Chama cha Mapinduzi. Sekta ya Habari haiko huru, sekta ya burudani haiko huru, sekta ya biashara haiko huru. Hizi ni sekta zinazopaswa kujiendesha kwa uhuru mkubwa ili kuchangia kwa kiwango kikubwa ustawi wa wananchi na maendeleo. CCM kwa sasa wana amua chombo gani cha habari kifanye kazi, kifanyeje kazi, na kiwape wananchi habari gani. CCM ina amua mfanyabiashara yupi afanye biashara kwa terms zipi? Hili limefanya Taifa kuzalisha ajira ya kipuuzi ya watu wanaoitwa machawa ambao kazi yao ni kusifu na kuabudu mambo ya kipumbavu na kijinga ya Viongozi na watu wenye pesa huku wakikebehi shida za Wananchi.

7. Jumuiya ya kKimataifa hasa Washirika wetu wa Maendeleo wameionya sana Serikali ya CCM na Samia kuhusu ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu na kuendesha uchaguzi wa kiini macho kwa kuwalaghai wananchi. Hili linafanya Taifa kuwa kwenye wakati mgumu na kuweza kuingia kwenye machafuko makubwa huko mbeleni kwa sababu masuala yanayolalamikiwa yanaweza kupelekea tukatengwa kimataifa na kusababisha hali ngumu ya kiuchumi na kimaisha lwa Wananchi wetu ambao tayari sasa wanaathiriwa kwa kiasi kikubwa na Ufisadi wa Serikali ya Samia na CCM.

8. CCM imeharibu mfumo wote wa kisiasa nchini kwa kuweka vyama vya siasa vua upinzani mapandikizi ambavyo kiuhalisia havisimamii maslahi mapana ya Wananchi zaidi ya kutumika kama sehemu ya kuwalaghai Wananchi kwa faida za CCM.

Kwenye hili hata ikisemwa tufanye uchaguzi mwingine sasa mfumo huu wa CCM ambao umeshakuwa kansa katika Taifa hili utaendelea kuliangamiza Taifa. Suluhisho pekee kwenye hili ni Jeshi kuchukua nchi kwa kipindi cha mpito kisichozidi miaka 5 na kuhakikisha Taifa letu linapata

a) Katiba Mpya iliyo bora

b) Kuundwa upya kwa Taasisi za Mahakama, Takukuru, Polisi, TISS, Ofisi ya DPP, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Tume ya Uchaguzi, Msajili wa Vyama vya Siasa, Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora pamoja na Ofisi ya CAG

Mungu wabariki JWTZ.
Swali: hivi CDF salama kweli??
 
Kwanini wasimtusi? Magufuli ndo alipalilia haya mambo yanayoendelea leo ya utekaji. Kwanini wasimtusi?

By the way, huyo Magufuli akiwa Waziri hakuwa akipewa changamoto na wapinzani ukilinganisha na Mawaziri wengine, ila asivyo na akili alivyoukwaa Urais akaanza kudeal na wapinzani.

Jambo jingine linaloonyesha hakuwa na akili sawa sawa (kwenye mambo ya siasa): Aliwahi kutamka mwenyewe kuwa aliambiwa "wabaya wako hawako kule upinzani, wako humo humo ndani ya CCM" ila yeye akaendelea kudeal na wapinzani. At the end ni akina nani waliommaliza; Chadema au CCM?

Muwe na akili wajinga nyie!
Mihemko imekujaa, rudia kusoma ujielewe
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Jeshi safari hii lishindwe lenyewe tu

Na likishindwa safari hii wanasiasa ndo watawapanda kichwani hadi wataeleza.

Ili kuleta heshima na kuinyosha nchi hakuna budi Jeshi kuchukua hatua ya kuchukua nchi sasa
 
Mwezi huu utajifungua na ndoto yako ya kiuendawazimu.If wishes were horses beggars would ride.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
You are mentally unsound moron.
 
Mwezi huu utajifungua na ndoto yako ya kiuendawazimu.If wishes were horses beggars would ride.
Wisdom is chasing you but you are always faster.
You are mentally unsound moron.
Polee sana. Maneno yako mwisho wako tarehe 29 Oktoba 2025
 
WaTanzania hawajashindwa kuichukua n a kuiendesha nchi. Jeshi liwahakikishie tu hawa waovu chini ya Samia Suluhu Hassan hawaondoki na damu nyingi ya waTanzania.

Hilo pekee ndilo la muhimu kwa sasa, jeshi lilisimamie.
 
Jeshi litusaidie kwa kweli
 
Ingekuwa n kweli ikatokea hvyo bas hatuna budi kuomba na vyama vyote vya siasa kufutwa kabisa na Mali zake kutaifishwa
 
Zimbabwe wanajeshi waliingia kipindi cha Robert Mugabe akaachia ngazi , na sasa hapa jirani Madagcar jana wameingia kwanini Tanzania isiwezekane ?
 
hilo jeshi unalilihashukia ni jumuiya ya CCM kama ilivyo UVCCM
 
Zimbabwe wanajeshi waliingia kipindi cha Robert Mugabe akaachia ngazi , na sasa hapa jirani Madagcar jana wameingia kwanini Tanzania isiwezekane ?
Kwwli kabisa. Zimbabwe Jeshi lilimnyoosha kweli Mugabe.
 
JWTZ msichelewe. Taifa lote linawatizama nyie. Tusaidieni
 
Ingekuwa n kweli ikatokea hvyo bas hatuna budi kuomba na vyama vyote vya siasa kufutwa kabisa na Mali zake kutaifishwa
Hili halina budi kutokea ili turudishe utimamu kwenye siasa zetu.

Puppets wote wanaotumika kuwarubuni wananchi lazima wafurushwe kabisa.
 
Back
Top Bottom