Haya ndiyo matokeo ya Jeshi kutwaa madaraka ya uongozi wa nchi. Wewe unasemaje mdau?

Karibu hayo yote yanafanyika sasa hivi.
 
Tupe madhara ya serikali ya majizi, mafisadi, watekaji, wauaji na madalali wa rasilimali pia itapendeza.
 
JESHI LICHUKUE NCHI,SIJAJUA WANASHANGANGAA NINI?ila mbona kama jesho letu sio wajasiri kama wanajeshi wa nchi zingine,sijajua ni training au ni ile asili ya mtanzania kuwa muoga.
 
Wewe ni mtundu nini.? Ndiyo maana umeandika mavi tu
 
Mabaka wanazingua chukueni nchi fasta haya majizi ya kijani inatosha
 
Jishi la kizamani hilo, sikuhizi hamna huo upuuzi, Bukina mwamba kawaambia alete Democrats raia wamekataa wanamwambia aendelee, Gaddafi alikuwa mjeshi aliwafanyia huo unyama? kwani hao jeshi hawana ndugu huku uraiani???
 
wabongo wengi watu tuna matatiuzo akili, usijusumbue mleta mada hawawezi kukuelewa mpaka yatakapowakuta.
 
Yes, sheria hii huwepo lakini katika siku za mwanzo. Baada ya hali ku stabilize, maisha huendelea kama kawaida tu...

Tofauti huwa ni moja, utawala unakuwa ni kijeshi. Rais mwanajeshi, mawaziri wanajeshi nk

Mkipata kiongozi mkuu (Rais) mwanajeshi mzalendo kwelikweli wa sampuli ya Ibrahim Traore wa Bukinafaso, mtapiga hatua za maendeleo kwa haraka sana..
 
Hayo yote ambavyo umesema ni madhara ndio wanachokifanya chama tawala Sasa tofauti Iko wapi?
 
Aione mpuuzi Lord Denning
 
Kawaambie waliokutuma Hatudanganyiki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…