Haya ndo Maajabu ya siku ya Kuzaliwa kwa mujibu wa uchunguzi wangu

Haya ndo Maajabu ya siku ya Kuzaliwa kwa mujibu wa uchunguzi wangu

dokolombwike

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2012
Posts
373
Reaction score
616
Nimebaini watu hufurahia sana na kupongezana sana iwapo itafika hiyo tarehe yake ya kuzaliwa. Shida yangu inakuja pale linapokuja swala la kumposti huyo muhusika kwenye hii mitandao yetu pendwa. Hupostiwa tu wale wenye mionekano mizuri au labda wawe wamependeza sana. Je wasio na mionekano mizuri hawana haki ya kupostiwa au. N.b.mimi huwa na postiwa. Najua mapovu yatatoka kwa wasiopostiwa.
 
kiukweli mi maswala ya birth day , valentine day ,huwa cyatili maanani sana , swala ya kupost au kupostiwa huwa cpost kitu chochote fb,hata kama niwe napga job flan au nime shine (maana wengi hufanya hvi), nina miaka mingi cjapost kitu fb zaidi ya comment, like, share swala la kupostiwa huwa cpendi off coz
 
Back
Top Bottom