dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Nimebaini watu hufurahia sana na kupongezana sana iwapo itafika hiyo tarehe yake ya kuzaliwa. Shida yangu inakuja pale linapokuja swala la kumposti huyo muhusika kwenye hii mitandao yetu pendwa. Hupostiwa tu wale wenye mionekano mizuri au labda wawe wamependeza sana. Je wasio na mionekano mizuri hawana haki ya kupostiwa au. N.b.mimi huwa na postiwa. Najua mapovu yatatoka kwa wasiopostiwa.