Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Na uliwagegeda kweliMie kuna muda nilikuwa nimefulia nikasema hii pikipiki yangu ngoja nipige mishe hapa nipate hela ya kula... Ndio hapo nikaja gundua kweli hawa warembo unaweza jigegedea mpaka basi.